Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Samia ni pambo la Urais,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.
Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.
"Pamoja na kushirikiana na sekta binafsi, huwezi kuwaingiza wafanyabiashara jikoni wakupikie chakula cha umma!
Sekta ya umma na sekta binafsi hazilinganiki. Ni kweli huwezi kuendesha biashara kama idara ya serikali; pia ni kweli huwezi kuendesha serikali kama kitengo cha biashara."
Unaweza kusoma mwenyewe hapa.
View attachment 1954110
Atufanyie ufundi kwa haya makikiwte na team yake nayo yaondoke kwani ndo yanataka kuuza tanesco na kuinyonyaMungu fundi anajuwa Haki iko wapi ndo maana akamuondoa jiwe fasta
Tutashinda hii vita,na hakika wataondoka na kwa aibu kubwa sanawa
Atufanyie ufundi kwa haya makikiwte na team yake nayo yaondoke kwani ndo yanataka kuuza tanesco na kuinyonya
Kwa kweli tumepigwa , tena tumepigwa haswa hali ya umeme katika nchi hii itakuwa ni mbaya sana, ni muda tuKama tulikaririshwa kuwa Tanzania kuna watu fulani hivi, ili mashirika yaende basi lazima wawe hao hao kwenye boards au kwenye usukani kabisa, miaka yote. Tumerudi kulekule kwa kweli.
Sawawa
Atufanyie ufundi kwa haya makikiwte na team yake nayo yaondoke kwani ndo yanataka kuuza tanesco na kuinyonya
Inaonekana hata huyo aliemchagua wote ni wapigaji wakubwaWe unamchagua mpiga deal kama mwezi wa kwanza kuongoza wizara unategemea nini kama sio kupigwa
Nyerere 1995: "Siyo mtu anashauriwa na mkewe halafu mambo yanabadilika, hatujui kesho atamshauri nini....."Leadership traits hazina correlation na jinsia ya mtu. Mbona kihistoria kuna wanawake wa Shoka waliongoza kwa uweledi kuliko wanaume.
By the way Marie Antoinette alikua mke tu wa mfalme Louis wala hakuwa kiongozi yeye kama yeye so sijaelewa kwanini umeweka mfano wake humu??
Anyway how can I access your book for further reference and knowledge seeking?
Leo nimesikia kwenye mkutano wa viongozi wa TANESCO na waziri kwamba shirika lijiendeshe kibiashara.
Unajiuliza, tanesco msingi wa uanzilishwaji wake ilikua ni nini, quality service delivery ama profit oriented?
Kama waziri anataka Tanesco ijiendeshe kibiashara, itakuwa ngumu watu kuunganishiwa umeme. Ndio maana serikali ilikuja na hoja ya 27000 kwa kila mtu ili kuongeza uunganishwaji kwenye umeme.
Waziri kwa unafiki mkubwa anasema sasa shirika liko mikono salama, utafikiri waliokuwepo wote walikua wezi. Huu ni udhalilishaji.
Sikuwahi na Sitowahi mkubali JPM hata Mama azingue vipi!! Sera zake zilikua zinaenda kuzika uchumi wa TZ by 2025!
Yes siku zote expansionary monetary policy inainua uchumi sababu inachochea uchumi zaidi. Kama ni kweli Trillion 5 zitaingizwa kwa uchumi then itasaidia kuinua biashara na mitaji ya benki hivyo ajira kuongezeka.Kwa hiyo Sera za sasa unazionaje?
Je zinaenda kufufua uchumi?
Ndyo maana, Trump alitolewa na mbowe hawez kua raisNaomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?
Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Jifunze kuweka maslahi ya nchi mbele,siyo kila kitu siasa,na sio kila anaetoa ushauri ni mpinzani, Tanzania haiwezi kusonga mpaka watu woote wenye akili Kama yako wafe,upo nyonyo?Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?
Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.
Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.
"Pamoja na kushirikiana na sekta binafsi, huwezi kuwaingiza wafanyabiashara jikoni wakupikie chakula cha umma!
Sekta ya umma na sekta binafsi hazilinganiki. Ni kweli huwezi kuendesha biashara kama idara ya serikali; pia ni kweli huwezi kuendesha serikali kama kitengo cha biashara."
Unaweza kusoma mwenyewe hapa.
View attachment 1954110
Yes siku zote expansionary monetary policy inainua uchumi sababu inachochea uchumi zaidi. Kama ni kweli Trillion 5 zitaingizwa kwa uchumi then itasaidia kuinua biashara na mitaji ya benki hivyo ajira kuongezeka.
JPM yeye alitaka serikali ifanye biashara mfano majengo ya serikali ipewe TBA, Bima ya taasisi za umma ziende NIC, pesa za taasisi za umma zikae BOT hayo matrillion yote yakiwa diverted kutoka private sector ulidhani faida yake ni nini??
Jamani serikali imeajiri watumishi kma laki 7 pekee waliobaki wote wapo private sector sasa ukiinyima fedha hku bado unadai kodi kwa makadirio makubwa unategemea nini??
Tukiacha ushabiki tukaenda kisomi JPM alikua anaua uchumi huu mngekuja kushtuka huko 2025!!
Makusanyo yes yatashuka maana makadirio yatakua ya chini na haitotumika nguvu lakini kiuchumi ukitaka kupata million 1 lazima ukubali urisk kupoteza laki 5!!Kwa sehemu umeelezea vema , lakini nikuulize je unaonaje mwitikio wa ulipajikodi wakati ule ukilinganisha na sasa?
Je kuna kuimarika zaidi au kurudi nyuma?
Je athari yake kiuchumi yaweza kuwa ipi na kuanza kuonekana baada ya muda gani?
Wewe ni mtu wa ajabu, I think nyinyi ndio mnakula tozo zetu, aingii akilini unaikingia kifua kama bullet proof, iv kwa mawazo ya kawaida huyu mwananchi wa kawaida anayepambana atoke kimaisha inamaana mnataka abaki ivyoivyo au nyinyi ni wateule??,this is not fair ,hii nchi sio yenu pekee yenu, hii nchi ni yetu sote, na nyinyi Hamna hati miliki ya milemile huu ni ubull sheet,2025 soon itafika tuone hii system itaperform, ila nakutabiria umeme utakuwa unakatika Mara mbili per day kwa siku za usoni,cost ya umeme itapanda na uchumi wa nchi utacollapse soon as possible ni wakati tuMakusanyo yes yatashuka maana makadirio yatakua ya chini na haitotumika nguvu lakini kiuchumi ukitaka kupata million 1 lazima ukubali urisk kupoteza laki 5!!
Mfano uchumi ulipoporomoka US ile 2008 serikali ilikopesha taasisi kubwa mabilion kwa muono kwamba zikisimama tena watazikata kodi nyingi kama kawaida kuliko zife alafu ukose vyote.
Sasa JPM alikua anapata kodi nyingi ila kwa kampuni zile zile ambazo zilikua zinajifia tu. Sasa ukisacrifice mapato ya muda mfupi ili kampuni mpya hta 1000 zifunguliwe trust me ajira mpya zikitengenezwa utakata PAYE na Income tax nyingi kuliko hata kipindi cha JPM.
Cha msingi ni kuhakikisha tu kweli sera itazaa uwekezaji mpya ili hta mapato yakishuka ni kwa muda mfupi tu ili kuzalisha ajira mpya zitakazoleta matrillion ya kodi baadae.
So kukujibu ni kwamba madhara yatakua muda mfupi 2021-23 na ndio maana tozo zimeletwa kucover gap. Ila should it work kuanzia 2025 tutaona matunda ya sera za expansionary monetary policy