Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Kama tungefanya hiyo miladi kwa pesa zetu za ndani, unafikili kungekuwa na kelele zozote??Sijawahi kuona nchi inapata maendeleo bila kuwa na uwekezaji ktk miundombinu na miradi ya maendeleo. Kamwe haiwezekani. Kukopa hela za covid sawa, kukopa za miundombinu dhambi....
Akili za kuambiwa changanya na zako... Mabeberu na makaburu, hata na vibaraka wao, wanahaha sana kuona miradi kabambe kama bwawa la Nyerere, madaraja, ndege na viwanja vyake, SGR nk inasonga mbele.
Siku zote tajiri atataka maskini aendelee kuwa maskini ili abaki kuwa tegemezi na fursa kwa kumpatia huduma muhimu.
Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake
Magufuli alipoingia madarakani alianzisha miradi mingi kwa fujo kama vile kuhamia Dodoma, ununuzi wa ndege kwa fujo, ujenzi wa SGR, ujenzi wa bwawa la Nyerere huku akihadaa wananchi wasio na uelewa kuwa miradi hiyo yote inatekelezwa kwa fedha za ndani
Hadi sasa deni la taifa linakribia kufikia trilioni 100 kutokana na miradi hiyo kutumia fedha nyingi, na hakuna uhakika itakamilika lini
View attachment 2497178
Hata wakiwa na lakusema haisaidii kitu maana katiba yetu pendwa haimlazimishi rais kufuata ushauri wa mtu/taasisi au ushauri wa aina yoyote ileMaprofesa wetu wa uchumi wanasemaje??
Kumbe gronecey hoteli ni mkewe mtaka?Hii miradi ilikuwa na ten pasenti za Jiwe, Bashiru, Polepole, Dotto James, Kijazi na Mfugale na Kalemani.
Tunamuomba mama aiondoe kampuni ya ndege ikulu, ikaguliwe.
Uwanja wa ndege Mwanza ni godown, lakini inasemekana ni la bilioni 9.
Masoko yote yachunguzwe, stendi zote, unaambiwa stendi ya JPM mbezi bilioni karibu sabini, hiyo fedha inajenga stendi tatu kama hizo.
Ndio maana Hilo kundi lilikuwa linaipigia kelele miradi hiyo, sio kwamba waliipenda nchi, hapana, walikuwa na vikampuni vyao vina subcontract.
Naona aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa dodoma baadae akahamishiwa njombe ndugu Mtaka alikuwa anajilia tenda za kuuzia serikali matofali kwa kupitia kampuni ya mkwewe wa GRONECY HOTEL, Morogoro,
Kweli wameziondoa da! HatariiiiKumbe gronecey hoteli ni mkewe mtaka?
Hata wakiwa na lakusema haisaidii kitu maana katiba yetu pendwa haimlazimishi rais kufuata ushauri wa mtu/taasisi au ushauri wa aina yoyote ile
Tatizo la sisi wabongo ni kutaka maendeleo bila kupata maumivu! Hata nyumbani kwako uanataka kupiga hatua katoka hatua fulani lazima ujibane na ulifanye kulingana na mahitaji ya mda huo! Ila vichwa naji wanataka taifa lisifanye miradi kisa Mzungu kashauri!Swala hapa sio ama ushauri utapokelewa au laa bali swala ni; kwanini maprifesa wetu wapo kimya??--- ni aibu mtu wa nje aje akushauri jambo wskati ndani unao watu wanaoweza kukushauri.
Likijaa niite dogiii nipo paleeeKwenye bwawa la Nyerere tayari inajulikana litaanza kazi lini, na lishaanza kujazwa maji ila SGR ndo mziki upo hapo sasa.
Maprofesa wetu bado wana muweweseko maana awamu ilihopita ulikuwa ukitoa ushauri ambao mzee baba haupendi, ulikuwa unapoteza ajira au unapotezwa wewe mwenyeweSwala hapa sio ama ushauri utapokelewa au laa bali swala ni; kwanini maprifesa wetu wapo kimya??--- ni aibu mtu wa nje aje akushauri jambo wskati ndani unao watu wanaoweza kukushauri.
Hakuna mtu atakuja kukusaidia hata ukosee! Huyo Profesor anaongea lakini tusipowekeza na kupata matatizo atakuja hapa kusema tatizo la viongozi wa Kiafrika huwa hawawekezi kwenye vitu vya msingi! Hata China na nchi zingine za Asia ziliamua kufanya maendeleo bila kusitasitaMaprofesa wetu bado wana hofu sana maana awamu ilihopita ulikuea ukitoa ushauri ambao mzee baba haupendi, ulikuwa unapoteza ajira au unapotezwa wewe mwenyewe
Wazungu huwa hawarembi, hutaki unaachaProfesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake
Magufuli alipoingia madarakani alianzisha miradi mingi kwa fujo kama vile kuhamia Dodoma, ununuzi wa ndege kwa fujo, ujenzi wa SGR, ujenzi wa bwawa la Nyerere huku akihadaa wananchi wasio na uelewa kuwa miradi hiyo yote inatekelezwa kwa fedha za ndani
Hadi sasa deni la taifa linakribia kufikia trilioni 100 kutokana na miradi hiyo kutumia fedha nyingi, na hakuna uhakika itakamilika lini
View attachment 2497178
Umesoma habari yote au hiyo title tu? Chato brainwashed mnaboa sanaMbona hakuna sehemu huyo Prof kamtaja Magufuli?
Kwapupa kutokana na akili ya mtu nipupa kwa akili ya samia ila kwa big brain ya magufuli ilikuwa siyo pupa ....tatizo ni uwezo wa kiakili wa mtuProfesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake
Magufuli alipoingia madarakani alianzisha miradi mingi kwa fujo kama vile kuhamia Dodoma, ununuzi wa ndege kwa fujo, ujenzi wa SGR, ujenzi wa bwawa la Nyerere huku akihadaa wananchi wasio na uelewa kuwa miradi hiyo yote inatekelezwa kwa fedha za ndani
Hadi sasa deni la taifa linakribia kufikia trilioni 100 kutokana na miradi hiyo kutumia fedha nyingi, na hakuna uhakika itakamilika lini
View attachment 2497178
Nafikili unashidwa kuelewa baadhi ya mambo, kufanya maendelea hakuna mtu anayekukataza. Hao unaowataja hapa wamefanya maendeleo kwa pesa zao za ndani sio kwa kukulupuka kama mzee magu. Miladi mikubwa unaifanya kwa kubalansi uchumi wako kwanza tena mladi mmoja baada ya mmoja sio mamiladi mingi wakati ela hauna. Inakuwa huo ni ukichaaHakuna mtu atakuja kukusaidia hata ukosee! Huyo Profesor anaongea lakini tusipowekeza na kupata matatizo atakuja hapa kusema tatizo la viongozi wa Kiafrika huwa hawawekezi kwenye vitu vya msingi! Hata China na nchi zingine za Asia ziliamua kufanya maendeleo bila kusitasita
Rais Samia Hassan ameamua liwalo na liwe hata kama chama chake kitashindwa viti vingi vya ubunge au hata urais yote ni anataka kujenga maridhiano ambayo hatimaye yataweka uwanja mzuri wa Tanzania kupiga hatua kubwa ya Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu hicho ndicho profesa Stefan Dercon anaelezea ndiyo njia sahihi nchi kuelekea kupata maendeleo endelevu.PROF. STEFAN DERCON - GAMBLING ON DEVELOPMENT
Explained : Why Some Countries Win Economically and Others Lose - Prof. Stefan Dercon
Source : SpiceFM
Akafie mbali na ushauri mbovu wenye wivu ndani yake. Kwa hao waingereza na wamarekani maendeleo waliyapata bila mikopo. Walipaji ni wananchi watanzania deni nilao cha msingi mikopo hiyo ionekane imefanya kitu gani cha kimaendeleo na cha kujivunia.Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake
Magufuli alipoingia madarakani alianzisha miradi mingi kwa fujo kama vile kuhamia Dodoma, ununuzi wa ndege kwa fujo, ujenzi wa SGR, ujenzi wa bwawa la Nyerere huku akihadaa wananchi wasio na uelewa kuwa miradi hiyo yote inatekelezwa kwa fedha za ndani
Hadi sasa deni la taifa linakribia kufikia trilioni 100 kutokana na miradi hiyo kutumia fedha nyingi, na hakuna uhakika itakamilika lini
View attachment 2497178
Mbowe ameifadhili chadema mabilioni ya fedha anayatoa wapi?Mambo ya JPM yalikuwa ya hovyohovyo, kwa mara ya kwanza mkuu wa Mkoa anagombania ghorofa la mabilioni Masaki. Mshahara wa mkuu wa Mkoa hauzidi milioni tano.
Huna akili ,kuna nchi gani haina ndege?Nadhani wangeacha ununuzi wa ndege. Kwenye usafiri wa anga wavutie wawekezaji kama fastjet warudi.
Pesa hiyo inayopelekwa kununulia ndege zinazoliingizia Taifa hasara kila mwaka, zote zipelekwe kwenye reli.
Kiuhalisia na kwa faida za kiuchumi, ujenzi wa reli, barabara na madaraja ilikuwa sahihi. Vingine vingefuata taratibu.