Huwa sikubaliani kabisa na huyu askofu lakini kwa hili la chanjo nipo naye sambamba Sana. By the way serikali ishasema chanjo Ni hiari. We mtoa post chukua familia yako mkachanje then tulieni zenu nyumbani kwenu. Sisi acheni tukomae na Mungu maana yeye ndiye ngome na uzima wetu" AKILI ZA MBAYUWAYU..........?!!!!
 
Asante sana .
 
Tumeambiwa tuwaite kwa jina la wewe ni pesa.
Ondoka msaliti
 
Gwajima yuko sahihi
 
Kuna watu wengine mpaka unajiuliza ilikuwaje wakazaliwa binadamu, wew ni mmoja wao
 
Gwajima alikula kondoo kimachomacho[emoji15] na waumini wake wanajua.

Gwajima aliiba kura,waumini wake wanajua

Gwajima anafanya siasa(shughuli za waongo,wezi,mafisadi,wauaji,wapandisha tozo n.k) the same time yeye ni askofu na sio sahihi,waumini wake wanajua

Gwajima aliigiza kufufua mtu aliyejifanya kufa na waumini wake wanajua

Gwajima ali dhihaki kifo cha maalim Seif lkn cha magufuli alikaa kimya, waumini wake wanajua

Gwajima alidanganya Birmingham ipo USA,waumini wake wanajua

Gwajima anaombea wasio na hatia kifo (madaktari) na si sahihi kulingana na kazi yake,waumini wake wanajua

Na hili swala la chanjo Gwajima anapotosha watu na waumini wake wanajua hilo kwamba anapotosha

Jamaa ni mjinga karibia kila kitu na waumini wake wanajua lkn KONDOO KWA MCHUNGAJI NI JINGA ZAIDI KULIKO KILA KITU[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Gwajima Ni chizi Kama machizi Wengine type ya mwendazake, inatakiwa akamatwe akaminywe pumbu,hawezi akamletea kauli za dharau Rais
 
Mimi si mshabiki wa Askofu Gwajima. Lakini nakubaliana naye kwa ishu ya chanjo. Ni mtu mjinga pekee ndio anaweza kubali Chanjo.

Mungu hakosei kuhusu immunity aliyomuumba nayo mtu. Why chanjo now?
Mawazo ya mwendazake na sukuma gang,uko serious na maneno uliyoandika hapa halafu kuna watu wamekupa like,nchi hii ina shida kuu moja elimu ya hovyo kabisa,Eti immunity,?chanjo ngapi zimeisha pita nchi hii??na wewe mwenyewe toka mdogo ulichanjwa isitoshe umeambiwa ni hiari bado mnashupaza shingo subiri korona ikupate ndugu zako watakapo kupeleka hospitali wao ndio watakuombea uchanjwe that will be too late.
 
Wewe ndiye wa kupuuzwa na siyo Gwajima. Mbona serikali yenyewe haina uhakika na hizo chanjo. Inatoa kama mtoto akililia wembe, ama kila mtu abebe mzigo wake, ama pamabana na hali yako, ama mtidnon wa mtajiju.

Akili za kuambiwa ongeza na za kwako, acha kukariri na kuendelea kujidharirisha,jiongeze utaheshimika.


Wenye fahamu wanaona nyuma ya pazia, hawaishii hapo ulipo wewe.


Kama kiingereza hujui, tafuta mtu mkweli akutafisirie

Kwa nini clips zinazotoa taarifa za yanayotokea duniani zinaondolewa watu kama wewe msijue?





 
Jibu hoja kisayansi si propaganda hiyo Serikali imejiridhisha kipi?
Inajus long term side effects ya hizo chanjo? Au unapayuka tu.

Msihangaike kupambana na Gwajima,ukweli unajulikana.
 

Hili la kupunguza saa za ibada limenikwaza sana

Yaan saa za kumtumikia Mungu alie hai zipunguzwe kweli?

Mungu Baba tafadhali onesha uwezo wako ili ukuu wako utukuzwe
 
Nawaonea huruma hasa waumini wake wanaopoteza muda kumskiliza na kuamini anayowaambia kuhusiana na chanjo ya Covid-19. Hapa kuna shida kubwa!
 
Hiki kirusi kipya ni hatari zaidi ya kilichopita tujiandae, hii ni Cha nne sijui Cha tano na sita vitakuwaje.

 
Kuongea vitu kwa kadamnasi bila vivid evidence; ni upotoshaji he should know better..., Kwanza Kitaaluma ni Daktari hata kama ni daktari ana data kiasi gani za kuweza kuthibitisha anachosema ?

Science haendi kwa shutuma na kutumia shutuma na conspiracies kama evidence
 
Ni kweli kabisa huyu jamaa ni mdanganyifu na muongo number 1 TZ. Kwa kweli personally sijawahi kumsikia akitoa ushauri wa maana zaidi ya upotoshaji. Corona ilipokuja akawadanganya watu wake kuwa haitakuja Tanzania ni itaishia kwenye ndege. Baadaye ilipokuja akadai kuwa haiogopi na atawaponya wagonjwa ... hatukumuona akifanya hivyo zaidi ya kujifukiza .... Huyu Rashid ni Chizi na Tapeli wa kukemewa kama Mapepo mengine. Atakuwa anatumiwa na shetani huyo!!

Kwanza kwa kuonyesha tu kuwa hajui anachoongea .... anadai eti wamueleze chamical content za hizo chanjo. Yaani huyu bwana hajui kuwa vaccine ni biological materials na siyo chemicals. Vaccine siyo dawa kama panadal au Chloroquine. Sasa sijui hizo chemical composition za vaccine anafikiri ni zipi?

Angekuwa na akili au busara ya kawaida, kwa cheo chake cha Kibunge na Uaskofu uchwara alitakiwa awe na reservation kwenye kauli anazotoa.
 
Gwajima mwongo. Watu tumeuza viwanja na nyumba kwaajili ya safari ya kuhamia Birmiggam Marekani hadi sasa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…