timu bamia
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 154
- 22
maneno yako pasco kama yananiingia akilini vile,sasa mimi sijui nina nguvu gani?
mimi nina tabia frani ya kuwaza kitu na kikatokea kweli na ingine tunaweza tukawa watu wengi tunajadili kitu frani watu watu wote wataongea lakini wataonekana wameongea utumbo lakini nikiongea mm ata liwe la ovyo wote wataniunga mkono.hizi ni nguzu za aina gani?