Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Naomba nifafanulie!
P
 
Mtajuana wenyewe, hatuna muda wa kupoteza Tena Wala kuomba rehema Kwa Mungu

Huwezi ukamdharau Mungu kiasi hiki eti unavamia sehemu ya ibada mnamchukulia Mungu poa, this time mtaelelewa Kwann Elia alisema na ijulikane Yuko Mungu!
Na kinachonisikitisha watu ambao ht hamuelewi spiritually kanisa linapigwa vita mnadhani ni suala la mtu hamjui kuwa kanisa linanyanganywa mamlaka yake na kuzimu

Menemene tekeli na peresi
 
Naomba nifafanulie!
P
Tabia nyingi tulizo nazo nizakuiga kuliko za kiasili za kiasili nizile tulizo rithishwa toka kwa wazazi wetu ama jamii za ukoo na mila hizi tabia zote mbili tuna ishi nazo tangia tuko wadogo kwakimombo mjumuisho wa hizi tabia unaitwa self-image, (picha ya kinafsi)

Katikati Jamii kuna watu tunaambiwa eti wana msimamo kumbe ni mjumuisho wa hizi tabia ambazo zingine ni mbaya sana
 
bado gizani!
P
 
Kweli muda ni hakimu.

Wengine tangu mwanzo tulichagua upande sasa muda umewaumbua mkijaribu kukataa mabandiko yenu mnashindwa pa kuanzia na mnajiuliza mtufuate tulipokuwepo au muache.
 
Samia is not humble, ina maana wewe hujui tabia zake? Mmoja wa shangazi za rafiki yangu alifanya kazi na Samia kule Zanzibar, anamjua vizuri personality yake. Rais huyu ni wa ovyo, kimsingi hafai.
 
Samia is not humble, ina maana wewe hujui tabia zake? Mmoja wa shangazi za rafiki yangu alifanya kazi na Samia kule Zanzibar, anamjua vizuri personality yake. Rais huyu ni wa ovyo, kimsingi hafai.
Mkuu Fidi Masha, Field Marshall 11 kila binadamu ana public life na private life, public life ni ile inayoonekana public ambayo ndio jinsi mtu anavyoonekana publically, na private life ni ile life yake ya private ambayo hiyo inalindwa na the right to privacy,hivyo mtu anaweza kuonekana ni mtu mwema kwenye public life yake kumbe ni ameficha makucha!, mtu huyo atahesabika ni pretender,yaani anajifanyisha, Rais Samia ni humble bonafide genuinely,hajifanyishi, sio pretender wala hajaficha makucha!。

Mimi ni shuhuda wa humbleness yake,nimefanya nae mahojiano mara mbili, mara ya kwanza akiwa Waziri wa nchi OMR Muungano,mara ya pili akiwa M/Mwenyekiti Bunge la Katiba, in public,

Samia niliye mzungumza hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza she is so real, humble!,hiyo ndio her public image!,kama she is something else in private,then,that is her private life,na mambo hayo ya private yanalindwa na kinga ya the right to privacy。

Ila pia sisi wenye jicho la tatu,mtu akiwa ni pretender,tunamuona, Rais Samia sio pretender,ana makucha na alisema wazi na openly “tusizinguane,mkinizingua nitawazingua!”, na sisi waandishi alituhimiza,tumkune tuu, tukimpara,atakunjua makucha na kutuparua!。

Mwisho wa bandiko hili nimetoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

P
 
Wanabodi,
Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

Paskali
Wananodi, kwenye bandiko hili kuna kitu nilimention, tuu kuhusu watu wapole, nikasema Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Nikaomba nisimalizie, na sikumalizia, sasa huku Polepole na Gwajima wanakotaka kumpeleka。。。 siko!
Afadhali mtu mkali akitibuliwa, anafoka tuu,yanaisha!,lakini mtu mpole mkimya,akitibuliwa ananyamaza tuu!。。。 naomba bado nisimalizie!
P
 
Paskali, siongelei maisha binafsi ya Samia, nakwambia haya kwa sababu amefanya kazi na shangazi ya rafiki yangu ambaye alikuwa Oman, ila amefariki kwa sasa (RIP). Huyo alikuwa bosi wake, Samia hayupo humble, Samia is very combative, tangu lini chura, kiziwi akawa humble??? Hii kazi aliyenayo si tumempa sisi? Sasa kama hatusikilizi ndiyo unasema yupo bonafide genuine? Hapana, tabia alizoleta hazifai, hata Msukuma mwenzio hakuzileta......Ameleta mambo ya Kizanzibari ambayo kwa waarabu ni kawaida, ingawa yeye ni mtwana. Nchi yetu imeshakuwa ya ovyo, sijui kwanini hamlioni hilo? Wewe kama ulimhoji, hukumuuliza maswali uliyopaswa kumuuliza, inaonekana ulimuuliza maswali general, kv. Ujenzi wa SGR, JNHPP, na hizo 4R's ambazo zimeshayeyuka sasa, hazipo tena. Ulitakiwa umuulize maswali magumu, kwa mfano, alisema muuaji wa Ali Kibao mbona hajapatikana......Mbona alisema atahakikisha anapatikana? hukumuuliza mbona aliyempiga risasi TL hadi leo hajapatikana? hukumuuliza......Mbona wananchi wa Tanganyika wanaendelea kutekwa, kubakwa, kulawitiwa, kupotea na kuuwa na yeye kama amiri jeshi mkuu inaonekana hajali? Na kwanini hajiuzulu?......Hayo ni baadhi ya maswali elfu moja ambayo ungepaswa umuulize na akupe majibu!!! Hatutaki habari za maisha yake binafsi ambayo wengi wetu tunayajua......Hatuyataki hayo. Ajibu hayo maswali ya msingi.
 
kijitabu kipya hawawezi kutoa kama kweli kuna wanamtandao
 
Hatutaki habari za maisha yake binafsi ambayo wengi wetu tunayajua......Hatuyataki hayo. Ajibu hayo maswali ya msingi.
Duh。。。!ina maana wewe utakuwa pia unajua kuhusu 。。。 anyway mimi ni mtu psychoanalysis,nikimtazama tuu mtu usoni kwa facial expression yake, I can determine the IQ, na mimi ni mmoja waandishi ambao tumeisha ng'atwa na nyoka, hivyo kuna maswali siwezi kuuliza!。
Ikotokea nikakutana naye,siwezi kumuuliza chochote zaidi ya kusifia lile jicho !Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
P
 
Paskali mimi sikusema anapiga maji hadi anatambaa........Sikusema kabisa, naombeni msije kuni-quote
 
Paskali mimi sikusema anapiga maji hadi anatambaa........Sikusema kabisa, naombeni msije kuni-quote
Umenikumbusha yule mtoto, baada ya kumuona kwambali mdeni wake anakuja, akamwambia mtoto, akifika mwambie sipo, akaenda kujificha chumbani。

Mgeni alipofika,akamuulizia baba yako yupo?
mtoto:baba kasema nikuambie hayupo!,yeye akaenda chumbani!

afadhali hukusema,kwasababu huu ni uongo!。 Sisi wenye jicho la tatu,tuna uwezo wa kubaini uongo, hivyo huo ni uongo!。
Lets keep private life private, tu deal na the public life!。
P
 
Ruto alimwambiaga Uhuru Kenyatta, kuwa yeye Ruto (Kasongo) hakusema kuwa Kenyatta ni mlevi, walisema watu wengine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…