PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

Kuna taasisi zitaanza bata Ijumaa hii mpaka Jumatatu ya mwisho wa mwaka
 
Aisee, hatari sana mkuu..
 
Najua wewe ni mwajiriwa wa serikali ya CCM, na huko CCM hakuna haja kutumia akili.
Ebu waambie wafanyabiashara wanàotumia akili walale jtano, alhamis, ijumaa, jmosi, jpili nao waanze kasi dec 30.
Ndo maana mnapenda rushwa na wizi badala ya kupenda kazi.
 
Mkuu, umekula mchana lakini?? Ninaomba unisamehe sana kwa kukuuliza hivi..
 
Sikukuu zina impact mbaya sana kwa wafanya biashara. Benki zimefungwa, bandari hazitoi mizigo, TRA hawafanyi kazi, duties na storage charges zinaongezeka n.k

Tuache kufikiria kama walala hoi, Kwa nchi zilizokuwa serious sikukuu zikitokea katikati ya wiki basi siku moja ya weekend inakuwa siku ya kazi na hii ndio model ya Tanzania kuifuata
 
Sikukuu zina impact mbaya sana kwa wafanya biashara. Benki zimefungwa, bandari hazitoi mizigo, TRA hawafanyi kazi, duties na storage charges zinaongezeka n.k
Kwa hiyo watu wasipopumzika hiyo December 27, ndio Tanzania italingana uchumi wake na Canada?? Kwa hiyo Dar Es Salaam itakuwa kama Riyadh??
 
Mkuu Fanya kazi utapumzika sana uzeeni...unanikumbusha zamani kipindi cha Mzee ruksa public holiday ikiangukia jumamosi au jumapili basi itafidiwa jumatatu ya wiki inayofuata nadhani mkapa ndiyo alikuja kufuta huo upuuzi
 
Hiyo Ijumaa turn up itakuwa ndogo sana huko ofisi za umma, trust me mkuu..
 
Waafrika mnapenda mapumziko, uvivu umewajaa ndio maana umaskini hautaisha
Usisahau tu wavivu hata kwenye kusoma.
Je wewe umesoma mpaka mwisho (au ndio unarudia tena kusoma?)

ANGALIZO: Ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism)
 
Aki
Akili huna nchi masikini badala ya kuipigania ufanye kazi kwa kizazi kijacho we unawaza kupumzika kwa kazi ipi ulofanya? ukiitwa fisadi utakataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…