Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

Magufuli alikuwa na maono mazuri sana kuusu hii nchi ata Sera sake zilikuwa nzuri shida ilikuja alivyowakaribisha vilaza kuwa washauri wake na tamaa za madaraka ndyo alipoaribu maana kma aliiingiza wabunge wote wa chama chake bungeni wrote kutoa wawili tu iliashiria angebadili katiba na kujiweka madarakani kma kina kagame
 
Huna uwezo wa kuijua DOGE kuliko mimi bwa mdogo
Hahahah haya ni mashindano ya kuijua doge au kutofautisha alichokifanya magufuli na doge?
Acha kumbebesha sifa zisizo stahili. Karibu chicago, nalipia gharama zote za usafiri wako just tu nikuonyeshe unayoyasema kama magu alifanya hata moja
 
Mbona chura kiziwi amwekwa kwenye mabango nchi nzima na bado ikija kwenye ulinganisho JPM anamgalagaza chura kiziwi ingawa jpm ni marehemu
 
Sasa hivi tunanunua Umeme Toka Ethiopia kwa Senti 7.7 za Dola kwa kWh... Mwaka uliopita Songas amepigwa chini kuuza Umeme wake kwa Senti 6.5 za Dola kwa kWh, kwa madai kuwa ni gharama.
Leo wametoa taarifa kuwa uzalishaji wa Umeme Tanzania umezidi matumizi... Kwa hiyo Mashine 5 zimezimwa...
Mpaka sasa sielewi🤔🤔🤔
 
Kweli ila pole kwa hali ilivyokulazimu kuchanjwa na kuwahamasisha wengine pia !
 
Magufuli hayupo vipi mmeacha kutekwa na kuuawa?

Ewe mfuasi wa Mbowe?
 
Watu wengi hawamkubali JPM, ila weka kura ni rais yupi bora kutawala Tz ndo utapata jibu sahihi 😂
Hakuna bora kwenye mbovu, Tanzania haijawahi kuwa na rais bora ila Magu na huyu mwenzake ndio wa hovyo kuwahi tokea hapa Tz
 
Sam
Samia na ccm wanaendesha nchi kihuni sana.
 
Pole yako
 
Mbona chura kiziwi amwekwa kwenye mabango nchi nzima na bado ikija kwenye ulinganisho JPM anamgalagaza chura kiziwi ingawa jpm ni marehemu
Sasa alikuwa anaiba kura na kuharibu uchaguzi 2020 aliwaza nn?
 
The best president Tanzania has ever had.

He will be remembered for his outstanding and bold decisions.

It will take 1000yrs to get such a president
 
Ilinichukua muda mrefu kuamini kwamba mwamba amelala milele
 
Kweli ila pole kwa hali ilivyokulazimu kuchanjwa na kuwahamasisha wengine pia !
Asante mkuu. Imagine unahamasisha watu wachomwe chanjo ambayo haijathibitishwa. Watu wachome chanjo ambayo sayansi yake haijulikani. Hatujui baada ya miaka kumi kipi kitakua kimetokea kwenye DNA zetu.
Kisa cha chanjo zile, kinanikumbusha kisa kimoja kilichotokea Nigeria mwaka 1997-98, kikihusisha kampuni ya Utengenezaji chanjo ya Pfizer. Wakati huo walikua wanafanya majaribio ya dawa yao. Wakaamua kuwatumia watoto wadogo waliokua wanasumbuliwa na homa ya uti wa mgongo. Wakati wa study ile, wazazi waliambiwa watoto wanapewa dawa na ilikua mzazi akikubali mtoto wake apewe dawa hizo, anakua excluded kulipa gharama zote za hospital. Kumbe walichokua wanawapa hakikua dawa. Watoto wengi walikufa.

Hio ndio michezo ya Wazungu.
 
Hasira za mkizi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…