Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

💥💥
 
Yule miaka 6 aliyokopa VS miaka 4 ya mama yako..................utajua kama wewe unatakiwa kubakwa bila kilainishi..........
Yeyote ambaye haoni mchongo wa Magufuli hapa nchini abakwe bila kilainishi.

Shenzi.
 


Mwamba, Mungu ampe amani ya milele huko halipo.

Ipo siku Tanzania itakuheshimisha kwa stahiki żako sahihi.

Mungu mpe upendeleo jemedari wetu huko halipo.
 
Acha upuuzi, unajidai mtu ambaye unajielewa kumbe kichwa kimejaa samadi.

Toa ushahidi.
magufuli alikuwa shetani kbs muuwaji mkubwa kiongoz mshamba na katili kuwahi tokea kwny taifa hili nasema apelekwe anapostahili huko kama ni adhabu apgwe na aliowaua.
 
Magufuli bado anaishi
 
magufuli alikuwa shetani kbs muuwaji mkubwa kiongoz mshamba na katili kuwahi tokea kwny taifa hili nasema apelekwe anapostahili huko kama ni adhabu apgwe na aliowaua.
Unayasema hayo kwa sababu alimtumbua mama yako aliyekuwa mtumishi hewa.

Please be objective, usisikilize kile kinachosemwa na watu bila kukipembua
 
HUjajibu hoja, Ushujaa wa Jiwe unatokana na nini?
uwongo maana alisema kila anachofanya ni fedha za ndani kumbe mikopo tu, eti atcl inafanya kaz kwa faida mpk inatoa gawio kumbe uwongo ni hasara tu, kujdai ni mungu hataki kosolewa, alisema wapnzan wanatuchelewesha sasa akavuruga uchaguz akajaza majinga majinga bungen hakuna yanachojadili kulipeleka mbela taifa hli zaidi ya kusfia serikali na chama chao as if hiyo ni sehemu ya kaz ya bunge. NADHAN HUU NDO USHUJAA WA YULE bwana.
 
Mtu asiye na maono ndio ameondoa foleni ya ubungo kwa 98% ameleta SGR train na ndege ambazo mnapanda na kujisifia royal tours. We need a solution oriented leader like JPM
 
Swaini
 
Kuna watu wanatamani waishi miaka 100 lakini hawana uwezo wa kiuchumi maisha yana endeshwa kwa kausha damu Mimi nadhani mtu kama huyu bora afe mapema ili asisumbue watu apumzike milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…