secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu ukiwachunguza vizuri wanaomchukia Magufuli utagundua kuwa wanatoka katika familia za watumbuliwa (viongozi wazembe, watumishi hewa na wapenda rushwa) pamoja na wale wanaolishwa maneno na wengine wenye uwezo mdogo wa Ku reason.Mtu asiye na maono ndio ameondoa foleni ya ubungo kwa 98% ameleta SGR train na ndege ambazo mnapanda na kujisifia royal tours. We need a solution oriented leader like JPM
unashindwa kuelewa, hivi unadhani diamond akigombea ubunge labda dhidi ya Mpina hawezi kushinda? Unaweza kukubalika lakinu huna ubora wowote.Kwahy ww hua unakubali vitu vibovu 😂 bc una matatizo mkuu
Mbona kulikuwa na uzi humu ulioshindanisha marais kupata rais bora zaidi Afrika, Jiwe akaangukia pua baada ya Mheshimiwa Nana Akufo Addo wa Ghana kuibuka kidedea??Watu wengi hawamkubali JPM, ila weka kura ni rais yupi bora kutawala Tz ndo utapata jibu sahihi 😂
Kasome.Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Angeachaje kunenepa.. maana hata huyo mke wake alikuwa anaogopa kutemwa na kikosi cha BashiteCha ajabu mke wake alinenepa na kunawiri ghafla baada ya mazishi.
Anajisahaulisha wakati CCM imewanyima ushindi CUF miaka yote upande wa Zanzibar!Yale ni mambo ya ccm!
.
Kwani baada ya hapo uchaguzi upi umefanyika kwa haki?
Alikwambia anaogopa?Angekuwa amefanya mambo mazuri na makubwa sifikirii Kama angeogopa uchaguzi
Alikuwa kiongozi dhaifu Sana mambo aliyoyafanya mwaka 2020 nilimuona bado kelele kibao Ila ukileta uchaguzi anatia mpira kwapani?Alikwambia anaogopa?
Soma comment yangu vzr mkuu, nasemea Tz.Mbona kulikuwa na uzi humu ulioshindanisha marais kupata rais bora zaidi Afrika, Jiwe akaangukia pua baada ya Mheshimiwa Nana Akufo Addo wa Ghana kuibuka kidedea??
Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka. Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora Japo Magufuli anaongoza...www.jamiiforums.com
Awamu hii mauaji yameisha?kura zanini yule magu muuwaji kama alikuwa anajiamin asingevuruga uchaguz tuone kama angetoboa limeondoka limetujazia matakataka kule bungeni inaumiza sn sn.
Hata kwa Tz hatoboi broo!Soma comment yangu vzr mkuu, nasemea Tz.