TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

Mkuu Maxence Melo!, this is shocking news to me, taarifa hii sikupaswa kusomea JF, nilipaswa kuipata in box!.

Sanctus alikuwa patner wangu kwenye baadhi ya projects zake.

Huyu ndie aliongoza ile kampeni ya Kumuenzi Regia Mtema. Huyu ndie alimbeba Le Le Mutuz pale ofisinini kwake!, ni mtu wa pili kunipandisha Range Rover Sport baada ya ile ya Range Rover Autobiography ya Wakili Beredy ambayo ni custom made na kuwa delivered by BA Cargo, ile 2005, Range Sport ya Sanctus Mtsimbe ya 2007 ndio ya pili mimi kuipanda.

Kuna baadhi ya vitu tulifanana na vingine tulitofautiana, tulifanana kupenda totoz bomba, ofisini kwake akawajaza, wasanii wa kike ndio usiseme!, tofauti yetu yeye mwenzangu aliwaheshimu, ilikuwa ni mahusiano ya kikazi tuu, wakati mimi ilikuwa ni "Kazi na Dawa". Wekeza inalipa Movie Launch.

RIP Comred Santus Mtsimbe.

P
 
Max, pole sana na msiba huo wa nduguyo.

Nimesikitika sana kusikia kifo cha ndugu yetu Sanctus Mtsimbe.

Taifa limeondokewa na mmoja wa wasomi walofahamu namna ya kutumia elimu waloipata kiuhalisia.

Sio mtu umesoma kisha wahanjahanja kuiba fedha za walipa kodi.

Ntamkumbuka Mtsimbe kuwa ndie alienishauri kutengeneza CV nzuri ambayo niliiweka LinkedIn na sikuchukua muda nikapata kazi ya kwanza baada ya masomo.

Kwenye kusaidia na kushauri ni mtu alie wazi na msikivu.

Sifa moja kubwa alokuwa nayo Mtsimbe ni ubunifu na kisha utekelezaji yaani wabuni kitu kisha wahikikisha kimesimama.

Bila shaka atakuwa ameacha wabunifu wanochipukia mahala alipokuwa khasa eneo la teknolojia.

RIP Santus Mtsimbe.
 
Hivi kwanini Msanii Dully Sykes alichagua a.k.a yake iwe ni ya Mr. Misifa tu pekee?
 
Mungu amrehemu
 
Chai
 
Rest in peace
 
Almanusura tukupatie kanisa lililosheheni vijana wa kike na kiume lakini tumeghairi kwanza.🤣🤣🤣🤣

Hii kazi na dawa ifanyie kazi kwanza ikutoke ili upewe kondoo wanono uwachunge😀🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…