David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Hiyo pili pili fili fil abyadh na kibiriti upele sijavielewa mpaka saa hizi
Ni vitu gani hivyo mkuu, unaweza fafanua kidogo??
Pili pili fili fil ndo ipi hiyo mkuu?maana nlishapiga sana hiyo kitu.sasa siyo chaputa ni ps yaani puri safi
Pili pili fili fil ndo ipi hiyo mkuu?maana nlishapiga sana hiyo kitu.sasa siyo chaputa ni ps yaani puri safi
Mkuu kwa wanawake je inasaidia and how??
Hujasema kama inamfanya mtu kuacha maana hilo ndio tatizo. Kama kurudisha misuli tu mbona mazoezi na pweza ni dawa tosha?.. mkuu kama babu kakuachia dawa kusaidia kuacha punyeto ingesaidia sana hiki kizazi cha maandamano maana tuko hoi kwa athari zake
Nimesema hivi punyeto siachi ng'o...kwa kuwa sina njia nyingine ya kukizi haja zangu...
Hujasema kama inamfanya mtu kuacha maana hilo ndio tatizo. Kama kurudisha misuli tu mbona mazoezi na pweza ni dawa tosha?.. mkuu kama babu kakuachia dawa kusaidia kuacha punyeto ingesaidia sana hiki kizazi cha maandamano maana tuko hoi kwa athari zake
Mkuu kwa wanawake je inasaidia and how??
hii kibiriti upele kama kumbukumbu ya ni sahihi ita kuwa sulphur(ya aina gani sijui)ndugu asigwa hizo fil fil abyadh na kibiriti upele ni dawa kiasili zilizo katika hali ya unga unga..kama ukienda ktk maduka ya dawa za asili ukiuliza tu utazipata
mkuu kuacha punyeto ni uamuzi wako binafsi lakini hiyo dawa ni kwa mtu aliyeathirika na punyeto tu.
Basi hujapata tiba ya punyeto..period!