Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hiyo pili pili fili fil abyadh na kibiriti upele sijavielewa mpaka saa hizi

Ni vitu gani hivyo mkuu, unaweza fafanua kidogo??

ndugu asigwa hizo fil fil abyadh na kibiriti upele ni dawa kiasili zilizo katika hali ya unga unga..kama ukienda ktk maduka ya dawa za asili ukiuliza tu utazipata
 
Me nshafkr pilipil ya kiarab lol!thnks aisee maana bodying school zimetuharibu sana
 
Hujasema kama inamfanya mtu kuacha maana hilo ndio tatizo. Kama kurudisha misuli tu mbona mazoezi na pweza ni dawa tosha?.. mkuu kama babu kakuachia dawa kusaidia kuacha punyeto ingesaidia sana hiki kizazi cha maandamano maana tuko hoi kwa athari zake
 
hiyo pilipili si muwasho balaa hapo! alafu unatulizia asali........ngumu kuelewa
 
Hujasema kama inamfanya mtu kuacha maana hilo ndio tatizo. Kama kurudisha misuli tu mbona mazoezi na pweza ni dawa tosha?.. mkuu kama babu kakuachia dawa kusaidia kuacha punyeto ingesaidia sana hiki kizazi cha maandamano maana tuko hoi kwa athari zake

mkuu kuacha punyeto ni uamuzi wako binafsi lakini hiyo dawa ni kwa mtu aliyeathirika na punyeto tu.
 
Hujasema kama inamfanya mtu kuacha maana hilo ndio tatizo. Kama kurudisha misuli tu mbona mazoezi na pweza ni dawa tosha?.. mkuu kama babu kakuachia dawa kusaidia kuacha punyeto ingesaidia sana hiki kizazi cha maandamano maana tuko hoi kwa athari zake

mkuu kuacha punyeto ni uamuzi wako binafsi lakini hiyo dawa ni kwa mtu aliyeathirika na punyeto tu.
 
ndugu asigwa hizo fil fil abyadh na kibiriti upele ni dawa kiasili zilizo katika hali ya unga unga..kama ukienda ktk maduka ya dawa za asili ukiuliza tu utazipata
hii kibiriti upele kama kumbukumbu ya ni sahihi ita kuwa sulphur(ya aina gani sijui)
 
Basi hujapata tiba ya punyeto..period!

wewe kalagabahao hiyo ni dawa kwa mtu aliyeathiriwa na punyeto...nadhani unajua jinsi punyeto inavyoathiri uume wenyewe na misuli yake.ila sijasema kwamba hiyo ndio tiba ya kuacha punyeto hapana bali ni tiba kwa aliyepata madhara ya punyeto
 
mkuu asante sana kwa somo zuri naamini litasaidia wengi, ni vizuri pia wakaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom