Kwa uelewa wangu suala la upiganyi nyeto hutibiwa na washauri nasaha na sio madaktari...
Ungelikuwa ni ugonjwa bila shaka ungelimuona daktari lakini kwa kuwa athari za punyeto huteka akili na fikra basi kwa hakika unahitaji mshauri nasaha...
Anahitaji Dawa nyie mnaleta masihara si vizuri km huna sema huna tu
Mkuu Suala La Kuacha si Tatizo!
tatizo Ni Nini Tiba Ya Hizo Effect Hapo Juu?
Fanya kegel exercise na mazoezi ya kukata tumbo yaan itakusaidia sana na utapata hamu ya kusex maradufu,mm mwenzio nlikuwa hata dk cmalizi nmeshakojoa bt saiz first round 15 min had 30 min la pili yaan ndo shida nachelewa sana kumwaga(0762601090)kw maelezo ya ziada
Mkuu Nyeto Imeachwa Mda Mrefu Sana
Tatizo Ni How to cure Bad Effect , Kama Hizo Nilizoziorodhesha?
Ahsante Sana!
Kaka kuacha nyeto,simple,ila kuhamisha akili ndiyo swala gumu sana, kwa sababu inatakiwa aache kabisa kuwaza swala la sex kwa sasa ili ku-gain momentum hususani katika swala zima ya tendo na linahitaji utulivu wa kutosha na kujikubali.
Ushauri wangu;
1. Inatakiwa mhanga awaone wataalamu wa afya hasa ili kutibu physical pains, kama hayo maumivu yote yanayomkuta.
2. Kwa kutibu mind effects, inatakiwa awaone wataalamu wa psychology ili apatiwe ushauri nasaha.
3. Kujikwamua kabisa katika hatari hiyo baada ya hayo mambo ma-2 ya juu Itabidi ku-concentrate zaidi katika kazi za uzalishaji,mazoezi,na kujiweka safi kiroho.
Naamini akifuata hayo mambo ma-3 atapona kabisa.
Get well soon, all the best.
Ingia kwenye hii website....Herballove.com | Herbal Remedies & Sexual Health Guide au andika2 kwenye google (herballove) utapata majibu mkuu
1. HospitalNashukuru Sana Mkuu
Labda Ushauri wakoi Ni Hospital itafaa
Hii kitu mbaya sana, mkuu acha kupiga tena pia jaribu kupumzika na ule vyakula vya asili vitakusaidia sana madawa ya hospitali siyo mazuri sana...hawa wazungu watatumaliza kweli!!
mkuu Google Uone Vilio Na Maombolezo Ya Vijana Kuhusu Effect
Dah ni hatari ila mie naona inasevu sana hasa magonjwa.
nazungumzia OVER-MASTURBATION
Ikizidishwa Ni Hatari Sana Mkuu Kwani Inaharibu Mfumo Mzima Wa Faham Hasa RED BLOOD CELLS