hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Sawa nimekuelewa kwahiyo wewe unahisi tatizo ni nn?? Unaweza kutoa mchango wako labda ukasaidia
Huo mchezo ukizidi sana huwa unaathiri sehemu ya ubongo,kuharibu nervs na misuli ya uume.ingekua ni madhara ya kisaikolojia zaidi,ni rahisi kupunguza tatizo,ila kama ni parts flani zimeathirika physically ni ngumu kulimaliza kabisa.
Suluhisho:
1. Aache kabisa kuangalia picha za ngono (pornography), aamue kuacha, akiwa mpweke ajiweke bize na shughuli nyingine ili kuepuka kishawishi.
2. Afanye mazoez ya kubana "jogoo" km vile mtu anayebana mkojo na wkt anabana ahesabu mpk ishirini halaf anaachia. Arudie mara kumi hata zaid mpk ishirini.
Mazaoezi haya afanye muda wa asubuhi na jion akiwa amekaa kwenye kiti.
3. Wakati anaendelea na hayo mazoez, atumie tiba ya mchanganyiko wa Kitunguu swaumu, Tangawizi na Asali. Matumizi, aponde vipande kiasi cha vitunguu pamoja na tangawizi halafu aweke maji achemshe apate glasi moja, halafu ikishachemka atoe jikon aweke kwenye kikombe na achanganye na Asali kijiko kimoja. Halafu anywe ikiwa vuguvugu.
Atumie hii dozi na mazoezi kila siku. Baada ya wiki 1 mpk wiki 2 ataona matokeo mazuri.
Elimu ni muhimuNilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24) ni kijana mtanashati mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha
Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la erectile dysfunction(jogoo hawiki) yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak nikamuuliza nini tatizo hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically. Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani so i understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just bcz of the pressure ya kupona haraka
Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.
Na pia tatizo jingine ni kuwa ame loose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake kwahiyo muda wote he questions my true feelings jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.
Sasa wadau swali langu ni je hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida??na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??
(This is serious question) thanks in advance
My dear, kupenda kuna dwfinitions nyingi sana.
Ushauri wa haraka kwa hapa sidhani kama upo kwa mapana yake.
Ila wewe kama unatafuta mwenzi wa maisha tafuta anayekufaa wewe. Make sure anazo qualities unazohitaji kwenye future yako.
Inawezekana kuwa unatamani kujitoa sadaka pia mi poa as long as hutatumia hio sadaka kutafuta sifa au sympathy au kimdharau kaka wa watu.
Wewe sio nesi wala daktari wake.
Commitments baina yenu ziwe kuheshimiana kuaminiana kutunzana regardless.
Mapungufu ambayo najua na wewe unayo kama yeye ni muhimu msiyaweke mbele kama mnajikuta yanakaa mbele na hamna mamno mengine mazuri mnayopeana sidhani kama mtaishi kwa raha.
Ila pia kwa sie wakristu ndoa isiokuwa na tendo la ndoa sio ndoa.
Tafakari umamuonaje huyo kaka
-Ni mtu asiyeweza ku do? Unaogopa kumuacha asipate shida au wewe usikose mwingine? Usivunje ahadi? Usisemwe kuwa unachukia walemavu? Usiambiwe umeshindwa?
-Au ni mtu unayempenda anayekupa mapenzi na kukusuport mambo mengi na ukiwa nae unafurahi? Akiondoka unammiss? Mkiwa pamoja mnakuwa na nguvu ya mambo mengi? Anakujenga na wewe unamjenga?
Sio lazima ku-comment.Ungeweza kukaa kimya tu kuliko kuandika utumbo wako hapa.Staarabika hata kidogoMtafutie na karoti ili uwe unastua kwa nyuma usikute huyo boy wako tayali wanampumulia kwa kisogo
Jaribu uone ana react vipi? just do it as a puprise to him akimaind mpoze kwa lugha laini
Vnginevyo nakwambia huyo mboy wako si liziki..!!