Ni hivi km we we unapenda sana ngono huyo jamaa hakufai, this is due to the fact that jamaa ameshaasirika kuanzia kifikra hadi kimwili hawez pata nafuu ya moja kwa moja so km unampenda jamaa just refresh with him and you will entertain a little and you must agree his situation
 
mara anakutana na hili liuzi humu, yani ndo mazima haitasimama tena!!!
btw... ka unaamini katika kristo, fanya maombi... hakuna lisilowezekana yeye ndo kamuumba na ndo anajua aluvyo

Maombi muhimu lakini hapa kumbuka wanapiga mechi ya mchangani kabla ya ndoa sijui kama maombi in combination na uzinzi yanaweza yakafaa, nadhani hapa ni kumpa ushauri kulingana na hali halisi ya kibinadamu
 
Asikudanganye huyo, masturbation inapigwa na kila dume halali la dunia hii! na bado raia wanasimamisha jogoo kama kawaida! Hilo ni tatizo lakini halitokani na hicho alichokuambia! Aende apate matibabu kama kawaida na sio kwenda na sababu ya musterbation, kwa sababu a wrong problem identification brings wrong hypothesis and wrong treatment procedures!
Ukweli kuhusu masterbation ni kwamba, Muscles za Uume hukomaa na kuota sugu kutokama na nguvu ya msuguo wa mkono inayotumika, wakati huo huo ngozi ya uke huwa laini sana kuliko ngozi ya mkono, hivyo inakuwa ngumu kwa uume uliokomazwa na masterbation kupata sensation feelings kwenye uke, hivyo hupelekea late ejaculation na mwanaume hupoteza mwamko wa kimapenzi utokanao na mguso wa uke. Lakini kusimama kwa mzakali kuko pale pale!
 
Ninavyojua mimi hapo hakuna tatizo zaidi ya saikolojia ya huyo mpnz wako, wengi wamejichua nikiwemo mimi pia lakini tatizo kama hilo sijawahi kulipata hata siku moja, sasa kumsaidia fanya hivi:

  1. Msifie kila mnapomaliza tendo la ndoa
  2. Jifanye umeridhika kabisa kila unapokutana nae kimwili
  3. Muaminishe kwamba hautamuacha kamwe
  4. STOP kabisa kuongelea hilo tatizo lake
  5. Mshawishi aamini kwamba tatizo lake limeisha tayari
  6. Lastly play your part kumsisimua na ku control game, usisubiri hadi jogoo awike sana ndo uendele
 
Well said bro!!ubarikiwe!!!
 
Mm pia ni muhanga wa hyo kitu, yaan maelezo yaliyotolewa hapo juu kuhusu jamaa na mm yanaendana kabisaaaaa. Ila kwa ulichokiandika nimeanza kukata tamaa ya kupona

Acha huo mchezo jitahid kwa miez ikibidi mwaka piga zoez unstoppable mfano jogging utakua polepole unaanza ona matokea ya kufurahisha zingatia kula vizuri hasa vyakula vya asilia zingatia Acha kutazama picha za ngono
 

PM me la.a una muda
 
mbona watu tumepga sana masterbation na tukipewa mechivtupo vizur sana
 

Pole sana.. inaonekana u.a mapenzi ya dahat kwa huyo jamaa ako.
mimi.naomba nikushauri yafuatayo.
mwambie atafute unga wa mdalansini..achanganye na vijiko vikubwa viwili vya asali kwenye maji ya moto.

Awe anatumia kila siku asubuh anapoamaka kabala hajala chochote. Itamsaidia kumrudisha katika hali ya kawaida.

Pili mshauri aache kutumia vyakula vya kisasa kama chips.mayai ya kisasa ,soseji na vitu vya nana hiyo.


Badala ale atumie vyakula vya asili kama ugali wa dona mhogo.mtama.
Ale samaki saana badala ya nyama.

Tatu mshauri afanye saana mazoezi ya viungo .mazoezi ni muhimu saana .

na kama anakunywa pombe saana mwambie apunguze anywe kiasi.


Na mwisho mwambie atumie saana matunda .kama tikiti. Parachichi ,papai , embe ,
Pia mwambie atafune mbegu za papai, atafune na nyanya chungu za kienyeji.




Kama atazingatia hayo.. matokeo yake utaanza kuyaona baada ya miezi miwili mpaka mitatu.

Ili kupata matokeo mazuri lazima anzingatie
 
Aisee, binafsi nimepiga sana puli na hadi sasa mara moja moja mpenzi wangu akiwa mbali najidunga, but haijawahi kunifanya kufikia hatua hiyo. kutakuwa na tatizo jingine tu kwa mtu wako may b tatizo la kisaikolojia, jaribu kwenda naye kwa madaktari wa saikolojia wanaweza kumsaidia!
 

Watu wamepiga puri miaka kumi na mitano pengine Katika hiyo alikisa kuudhuria miezi sita tu
 

Hadi sasahivi?!
Watu na hobby zao
 
Acha huo mchezo jitahid kwa miez ikibidi mwaka piga zoez unstoppable mfano jogging utakua polepole unaanza ona matokea ya kufurahisha zingatia kula vizuri hasa vyakula vya asilia zingatia Acha kutazama picha za ngono

Asante mkuu. Najitahidi kufuata ushauri wako.
Hata wengine nawashauri waache mchezo huu, maana kama haijakutokea hali kama hii huwez jua nn madhara yatakutokea siku za mbele.
 
Sasa jaribu hii,unapoona imenywea usimuache,ichukue uanze kuhangaika nayo vyoyote vile utakavyoweza ukifanikiwa hata mara moja kuisimamisha basi akili yake ita ji tune kuwa kumbe yuko fiti ,wewe usiishie hapo mpaka atakapokuwa hana hofu nawewe tena then itaacha hiyo hali tratibu, ila usiwe unamlaumu inapotokea ameshindwa kusimama endelea kumpa moyo.Ukitaka kujua hiyo hali siyo permamnent mwambie afanye masturbation utaona inasimama na anapata bao vizuri tu.
 

Mhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…