Hilo tatizo hata mimi nilikuwa nalo,Matibabu ni mazoezi jogging,kuruka kichura,push up na mazoezi mepesi ila asinyenyue vitu vizito.Aje nimpe dawa ya kuharisha niliopewa kisha aanze kula vyakula halisi na aache kula red meat ndani ya miezi 2 atakuwa anaweza kupiga bao moja na baada ya nusu saa atapiga lingine.ni pm ukiweza.sitaki pesa yako hata mia
 

labda haumvutii kabisa
 

Kaka nimekupm
 
MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) JE KUNA FAIDA AU HASARA YA KUPIGA PUNYETO?










Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho. Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.


Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.


Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto” in English "Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua. Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:




  1. Upungufu wa nguvu za kiume.

Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.





  1. Kutofurahia tendo la ndoa.
Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.

  1. Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.


  1. Kupunguza uwezo wa kufikiri.

Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.


  1. Kukosa nguvu katika magoti.

Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.




Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:



  1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.




  1. Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.




  1. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.




  1. Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.




  1. Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.




  1. Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bil aumuhimu wowote na epuk akujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.


Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.



Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).


Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.

Dawa ya Kumtibu mpenzi wako ninayo ukihitaji wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.
Mawasiliano
 

Mwambie anywe supu ya pweza............kila siku jioni baada ya wiki 3 tatzo kwisha
 
Hajajiamini na pia njia nyepec Ku last long chumbani apige mboo atakavyo ila atakapo sikia anataka kumwaga achomoe mboo arudie hivyo na pia akiwa ndani ya K atoe mawazo pale kwenye game.. Utakapoweza kumpa support hiyo in 1 week hadi mwezi utamkimbia mwenyewe
 
Hajajiamini na pia njia nyepec Ku last long chumbani apige mboo atakavyo ila atakapo sikia anataka kumwaga achomoe mboo arudie hivyo na pia akiwa ndani ya K atoe mawazo pale kwenye game.. Utakapoweza kumpa support hiyo in 1 week hadi mwezi utamkimbia mwenyewe.. Nimefanya hivyo na ni mwangalia mzuri Wa porn na master kama my bbymama akisafiri ila game na piga vizuri hadi bbymama anachoka mwenyewe..afanye hivyo then utanipa feedback
 
Pole dada
Huyo jamaa ni mzima kabisa hana tatizo lolote. Kinachomsumbua ni kukosa kujiamini tuu na hiyo huenda ilichangiwa na tukio la kuwa na mwanamke halafu akashindwa kusimamisha. Hivyo ameingiwa na woga tuu na ndiyo unaomsumbua. Kama punyeto wanaume wengi punyeto wamepiga na wana wake na watoto na mambo yanakwenda vizuri.
 
Anatakiwa aonane na wanaume wenzie wamfundishe namna ya kukabiliana na hofu aloipata. Hakuna tatizo la kifizikia hapo ni saikolojia tuu. Na pia wewe dada uwe mvumilivu sana. Ukionesha kumkimbia ndo hataweza kabisa manakd hofu yake ndo itazidi sana. Pia aache punnyeto na afanye mazowezi makali sana ili kurudisha afya na pia ale vyakula vya asili na samaki kwa wingi na vyakula vya baharini jwa wingi sana. Asitumie viagra. Akae muda mrefu bila ya kusex ili hamu ziongezeke siku akikutana na mwanaamke lazima itasimama na ikishasimama vizuri siku moja tu hofu yote itatoka na atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Mwenye zaidi alete tunufaike sote
Tusitoleane maneno ya kashifa.
 

SOMA HII THREAD MPENDWA, TATIZO LINAPONA KABISA SAWA:

Haya hapa ni matibabu yake wapendwa
Hello Dear friends and everyone ...........some people have sexual potency problems in their relationship and marriage too, this is due to different facts such as High stress, hormonal problems,and others do affect sexual desire and ability.....Do not worry about it, I'm here to recover this problem
Here are some of our products you can you to recover from sexual potency problems
1. VIG POWER CAPSULES, Here are some of it's functions (a ) Conserves the vital power and strengthens the sexual ability through replenishing kidney (b ) Increases sperm count and improves sperm mobility (c ) Increases sexual desire of men, enhances the Oxygen content in blood which helps in penis erection for normal sexual performance. (d ) Helps with sexual dysfunctions such as premature ejaculation, erectile dysfunction or frequent spermatorrhea.
2. ZINC TABLES, Here are some of it's functions. (a ) Essential for optimal physical performance and energy levels. (b ) for protein synthesis and proper function of red and white blood cells. (C ) Participates in synthesize of more than 200 metalloprotease and nucleic acid. (D ) Enhances immunity and accelerates would healing. (e )Supports reproductive system of men and women and helps with infertility....
WENYE MATATIZO YA NDOA NA UHUSIANO WA KIMAPENZ KWA SABABU YA UPUNGUFU WA TENDO LA NDOA AU KUTOWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA , HILO TATIZO LINATIBIWA NA KUONDOKA KABISA NA KURUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA AU UHUSIANO WAKO WA KIMAPENZI KATIKA UBORA WAKE NA MVUTO PIA.............KWA PAMOJA KILA TATIZO TWAWEZA LITATUA KAMA TUTAPATA TAARIFA KAMILI NA MATIBABU SAHIHI.....ASANTENI SANA
FOR MORE DETAILS CALL ME BY 0654158574/0765353056/0684974811
..................................................WE SHARE, WE CARE.......WELCOME
 

tatizo litapona kabisa ndani ya mwezi mmoja na kuwa lijari kabisa...wasiana na mimi kwa namba nilizoweka kwa thread ya kwanza hapo juu.
 

Pole sana dada.Ninachokiona hapo ni hofu tu,huenda his Ex-girl friends walikuwa hawampi support ya kutosha wanapokuwa kwenye gemu zaidi ya kumbeza&kumdharau.Mwambie atulie,ali-relax,jaribu kuona udhaifu wake ni sehemu yako maana hatujaumbwa tukiwa malaika,ipo siku atapiga gemu hatari&utarudi hapa kutoa ushuhuda.Pia mshuke magoti mumwambie Baba wa Mbinguni aimarishe nguvu zake.
 

Natamani sana huyo jamaa ajue amepata mwanamke wa aina gani...a helper as a woman is supposed to be..
My worry is anaweza kukupoteza kwasababu ya huo udunya wake wa kuquestion your love.
Angejua wanawake kama wewe are few angetuliza mshono wake.
Back kwa topic nitakupa jibu kama utaniambia kama bado anaendelea au laaah...
Ila aanze na mazoezi kwa wingi ili mzunguko wa damu uwe vizuri.
Pia kwako badilisha utaratibu wa ninyi kufanya "matusi😛" you're a woman go extra miles(ila uwe ndani ya nature plz&#128513😉
Badilisha mandhari hata na actions zenyewe.
Kuhusu madawa binafsi sijui ila naamini ktk mazoezi na mashirikiano baina yenu.
Last resort ni kwa Muumba.
 

Mkuu ni kweli master inalegeza misuli ya uume...yaaani ile full erection inakua haipo..
Ndiomaana napendekeza afanye sana mazoezi ili kuruhusu mzunguko wa damu uweze fika huko kwa wakati sahihi kabla hatujaanza na tatizo lake la kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…