Acha huo mchezo jitahid kwa miez ikibidi mwaka piga zoez unstoppable mfano jogging utakua polepole unaanza ona matokea ya kufurahisha zingatia kula vizuri hasa vyakula vya asilia zingatia Acha kutazama picha za ngono

Aiseee wakuu yaani mimi pia nina tatizo kama ja mpenzi wa huyo sister tena mimi naona nimeathirika zaidi yaani erection. Yangu ipo weak hatari na kila mara ninapokutana na mpenzi wangu natumia dawa za kuongeza uimara wa erection japo hii ni siri yangu tu mpenzi wangu hajui sasa nakosa Amani na kujizarau aisee naomba mnipe ushauri nifanye nn kwa sababu punyeto kwa sasa nimeacha na picha za ngono pia siangalii kabisa jamani hivi vitu vina madhara.kweli
 
akacheck kisukari pia
 
tatizo dogo hilo ale Sana matunda na mboga za majani pia puli aache
 
 
kweli biashara ni matangazo... watu mnazini bado mnakuja kuweka hadharani humu (H.I.V) haitokuja kuisha kamwe...poleni sana waasherati.
 
Usirogwe ukajaribu haya madawa ya kitapeli. Utajuta. Hayako proved scientifically na side effects zake (both short and long term) hazijulikani. Please kafanye comprehensive physical na cheki afya ya moyo, blood pressure etc. Kama uko sawa anza mazoezi na badilisha diet - matunda kwa wingi, asali kidogo, supu etc. Punguza red meat na pombe.

Pia yawezekana ikawa ni psychological issue au uko stressed sana. Jaribu ku-relax na usichukulie sex kama performance bali ni relaxation tu na kupeana raha. Ikibidi hata unaweza kujaribu kuwa spiritual kidogo ili kuondoa stress na msongo wa mawazo. Utapona kabisa!!!
 
Kama ana uwezo wa kusimamisha na akamaliza goli angalau moja, tatizo ni la kisaikolojia zaidi kuliko physical.
mambo ya kufanya:
.wewe ndiwe msaada mkubwa kwake umutie shime umpe nguvu kuwa anaweza with time litatoweka
.afanye mazoezi, si mazoezi tu, mazoezi stahiki, afanye kegel exercises zina saidia sana, watu wengi wanadhani haya mazoezi ni kwaajili ya wanawake tu walio wahi kujifungua, hapana, yanasaidia sana hata kwa wanaume hasa kurefusha mda wa kuwa na erection iliyo ya hali ya juu. kwenye you tube kuna clip kibao zinaonyesha kegel exercise kwa wanaume na kwa wanawake zitawasaidia.
.aangalie lishe yake, aache kual vyakula vilivyokoborewa, ale matunda kwa wingi pamoja na nuts (karanga, almonds, etc), kuna unga kama wa lishe hivi sanitarium nyingi zinatoa unasaidia sana kubalance homorne na kurudisha libido na mambo yote ya faragha kwa mwanume. (tikiti maji ni muhimu saana hapa).
.si shauri atumie viagra, zinaweza msaidia leo lakini kesho mambo hayo ndo yakafa kabisaa, na atakuwa mtumwa wa viagra milele.
.aangalie kazi anazo zifanye, acontrol level of poisoning na boredom ndani ya mwili wake. asiwe congested saana katika sehemu moja, sana awe na mda wa kupumzika katka fresh air apunge upepo aangalie mazingira natural ni msaada mkubwa.
.Finally, kama ni mtu ana dini, amuombe Mungu wake kwa dhati, ni mwema atamsamehe, atamsikiliza na atamjibu
 
Huyu atapona mkuu akifuata ushauri huu. Lakini ole wake akimbilie njia za mkato kama kufakamia maviagra na madawa mengine hayo atajuta sana hasa huko mbele ya safari.
 
Akili yake imekariri sabuni na vitu vingine vya kumastabetia lakini uwezo wa kusimamisha anao.Kwa hiyo maandalizi ya kisaikolojia inabidi yafanyike mf mwanamke inabidi awe anamtega na kumuonyesha umbo lake lote kwa umbali fulani before na si kudandiana na kuanza tendo.Mf akiwa kitandani kisha baby mama akatoka nje na kuingia ndani na kudondosha nguo na kubaki tupu kabla hajamsogelea atakuwa na hisia zaidi tofauti na kuwa katika zero distance.Wapiga nyeto wengi huwa wanavuta na kupata hisia kwa kuona maungo ya wanawake kwa mbali ndio maana huweza kutumia hata picha kufanya yao..
 
Habari!

Nimefanya punyeto kwa miaka 15 sasa, mimi wakati wa kufanya tendo la ndoa na mwanamke baada ya bao la kwanza nachukua muda mrefu kwa bao lingne na pengine ninakua sijiskii kabisa.

Je nifanyeje ili kumridhisha?
 
Miaka 15 unapiga punyeto dah yaan toka enzi za benja mpaka baba riz1... Hapo cjui hata nikusaidieje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…