masterbation ni addiction kama aina nyingine za addictions kama dawa za kulevya, ni ngumu kuacha. ina mchukua muathirika wa tatizo hili muda mrefu kuacha na kupona matatizo yaliyosababishwa na hii kitu. miongoni mwa matatizo ni kupungua kwa nguvu za kiume, kushindwa kujiamini unapokutana na mwanamke/kutongoza na premature ejaculation.
zipo njia mbalimbali za kutibu tatizo hili lakini kwa ushauri, tiba nzuri ni huanza na muathirika kudhamiria kuacha tabia hatarishi zinazompelekea kufanya hivi, miongoni mwa tabia hatarishi/tabia chochezi za kupiga puli ni hizi: kuangalia picha chafu za ngono, kukaa peke yako sehemu iliyojitenga/chumbani kwa muda mrefu, kutokufanya mazoezi ya mwili. muathirika lazima ajenge tabia ya kufanya kazi zitakazouchosha mwili na akae na kampani ili angalau akili isijirudie kwenye mawazo ya kujichua.
njia ya pili ni kutafuta mwenzi/mke kama umri wa kuoa umefika, n vizuri kua na mtu ambaye atakuridhisha kimapenzi ili unapopata hamu ya kufanya mapenzi akurithishe. lazima uwe na mtu ambaye ataielewa hali yako na awe tayari kukuvumilia, kinyume na hapo ukikurupuka utakua umewaolea wanaume wenzako kwa sababu ukishindwa kumridhisha na kuendekeza litabia lako la kujichua basi wenzako watakusaidia.
njia nyingine ni kujifunza jinsi ya kuimarisha misuli ya uume ili kuipa nguvu tena. UNATAKIWA UITAMBUE MISHIPA ILIYO CHINI YA UVUNGU WAKO. misuli hii unaweza kuitambua wakati wa kukojoa mkojo, jaribu kusimamisha mkojo ghafla, utahisi kuna misuli inakaza chini ya uvungu wako, ukishaitambua misuli hii, anza kufanya mazoezi kwa kufanya kama vile unazuia mkojo usitoke/tofautisha misuli hii na ile ya haja kubwa, sio kuivuta ilemisuli inayorudisha sehemu ya haja kubwa ndani, njia sahihi ni hiyo ya kujaribu kuzuia mkojo usitoke, fanya hivyo mara kwa mara angalau kila siku itakusaidia kuipa nguvu misuli yako iliyolegezwa na self services.