Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Faida kusema ukweli mzee hakuna kama unaweza acha ila kitu ambacho ni kibaya inasemekana kuwa hupenguza uwezo wa kufikiri na kusahausahau mambo jaribu kuwafuatilia wapiga nyeto utagundua...Habari wakuu,
Nilitaka kujua ni madhara gani mtu anayopata kwa kupiga punyeto kwa muda mrefu? Mfano miaka mitano na kuendelea na nini faida zake kwa tendo hilo?