Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Tena hapo blogs nyingi zinaelezea faida badala ya hasara ya masterbation kwa wanawake..

R
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.

Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;

1. Inaharibu kizazi

2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara

3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo

4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu

5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto

6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.

7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.

8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.

9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara

10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Rubii umeyajulia wapi haya, inawezekana kabisa wanawake wengi siku hizi wamekuwa na tabia hiyo inawafanya kukosa hamu ya tendo la ndoa, mimi yamenitokea umeenda na msichana faragha unajitahidi kumuweka vizuri lakini yeye yupo yupo tu ka zigo vile wala hana hamu na hata uke wake upo upo tu ka gunzi la mahindi duuuuu! niliondoka nikamwacha upo uchi kabisaaaaa kitandani.

Ha ha haaa et uke kama gunzi jamani pole

Ha ha haaa et uke kama gunzi jamani pole
kweli ati!! mimi nikimpata mtu aliye vizur mbona atainjoi huwa napeleka kunako vizuuuuuuuuuuri mpaka atoe chozi ndipo nachomoa mtoto anatamani nisinyanyuke kozi nazijua kona vilivyo, tena awe anatoa ka sauti fulani ka mguno duuuu hapo atafurahije nitampa nakusema sijawahi pata shughuli tamu ka ya leo......

Dawa owa wake wawili alafu kila siku ulale nao!! Acha kutamani wanawake wa kwene video....isipofanya kaz njoo nikupe ya miti shamba

SOMA HII THREAD MPENDWA, TATIZO LINAPONA KABISA SAWA:

Haya hapa ni matibabu yake wapendwa
Hello Dear friends and everyone ...........some people have sexual potency problems in their relationship and marriage too, this is due to different facts such as High stress, hormonal problems,and others do affect sexual desire and ability.....Do not worry about it, I'm here to recover this problem
Here are some of our products you can you to recover from sexual potency problems
1. VIG POWER CAPSULES, Here are some of it's functions (a ) Conserves the vital power and strengthens the sexual ability through replenishing kidney (b ) Increases sperm count and improves sperm mobility (c ) Increases sexual desire of men, enhances the Oxygen content in blood which helps in penis erection for normal sexual performance. (d ) Helps with sexual dysfunctions such as premature ejaculation, erectile dysfunction or frequent spermatorrhea.
2. ZINC TABLES, Here are some of it's functions. (a ) Essential for optimal physical performance and energy levels. (b ) for protein synthesis and proper function of red and white blood cells. (C ) Participates in synthesize of more than 200 metalloprotease and nucleic acid. (D ) Enhances immunity and accelerates would healing. (e )Supports reproductive system of men and women and helps with infertility....
WENYE MATATIZO YA NDOA NA UHUSIANO WA KIMAPENZ KWA SABABU YA UPUNGUFU WA TENDO LA NDOA AU KUTOWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA , HILO TATIZO LINATIBIWA NA KUONDOKA KABISA NA KURUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA AU UHUSIANO WAKO WA KIMAPENZI KATIKA UBORA WAKE NA MVUTO PIA.............KWA PAMOJA KILA TATIZO TWAWEZA LITATUA KAMA TUTAPATA TAARIFA KAMILI NA MATIBABU SAHIHI.....ASANTENI SANA,
FOR MORE DETAILS CALL ME BY 0654158574..................................................WE SHARE, WE CARE.......WELCOME

SOMA HII THREAD MPENDWA, TATIZO LINAPONA KABISA SAWA:

Haya hapa ni matibabu yake wapendwa
Hello Dear friends and everyone ...........some people have sexual potency problems in their relationship and marriage too, this is due to different facts such as High stress, hormonal problems,and others do affect sexual desire and ability.....Do not worry about it, I'm here to recover this problem
Here are some of our products you can you to recover from sexual potency problems
1. VIG POWER CAPSULES, Here are some of it's functions (a ) Conserves the vital power and strengthens the sexual ability through replenishing kidney (b ) Increases sperm count and improves sperm mobility (c ) Increases sexual desire of men, enhances the Oxygen content in blood which helps in penis erection for normal sexual performance. (d ) Helps with sexual dysfunctions such as premature ejaculation, erectile dysfunction or frequent spermatorrhea.
2. ZINC TABLES, Here are some of it's functions. (a ) Essential for optimal physical performance and energy levels. (b ) for protein synthesis and proper function of red and white blood cells. (C ) Participates in synthesize of more than 200 metalloprotease and nucleic acid. (D ) Enhances immunity and accelerates would healing. (e )Supports reproductive system of men and women and helps with infertility....
WENYE MATATIZO YA NDOA NA UHUSIANO WA KIMAPENZ KWA SABABU YA UPUNGUFU WA TENDO LA NDOA AU KUTOWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA , HILO TATIZO LINATIBIWA NA KUONDOKA KABISA NA KURUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA AU UHUSIANO WAKO WA KIMAPENZI KATIKA UBORA WAKE NA MVUTO PIA.............KWA PAMOJA KILA TATIZO TWAWEZA LITATUA KAMA TUTAPATA TAARIFA KAMILI NA MATIBABU SAHIHI.....ASANTENI SANA.
FOR MORE DETAILS CALL ME BY 0654158574................................................WE SHARE, WE CARE.......WELCOME

SOMA HII THREAD MPENDWA, TATIZO LINAPONA KABISA SAWA:

Haya hapa ni matibabu yake wapendwa
Hello Dear friends and everyone ...........some people have sexual potency problems in their relationship and marriage too, this is due to different facts such as High stress, hormonal problems,and others do affect sexual desire and ability.....Do not worry about it, I'm here to recover this problem
Here are some of our products you can you to recover from sexual potency problems
1. VIG POWER CAPSULES, Here are some of it's functions (a ) Conserves the vital power and strengthens the sexual ability through replenishing kidney (b ) Increases sperm count and improves sperm mobility (c ) Increases sexual desire of men, enhances the Oxygen content in blood which helps in penis erection for normal sexual performance. (d ) Helps with sexual dysfunctions such as premature ejaculation, erectile dysfunction or frequent spermatorrhea.
2. ZINC TABLES, Here are some of it's functions. (a ) Essential for optimal physical performance and energy levels. (b ) for protein synthesis and proper function of red and white blood cells. (C ) Participates in synthesize of more than 200 metalloprotease and nucleic acid. (D ) Enhances immunity and accelerates would healing. (e )Supports reproductive system of men and women and helps with infertility....
WENYE MATATIZO YA NDOA NA UHUSIANO WA KIMAPENZ KWA SABABU YA UPUNGUFU WA TENDO LA NDOA AU KUTOWEZA KUFANYA TENDO LA NDOA , HILO TATIZO LINATIBIWA NA KUONDOKA KABISA NA KURUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA AU UHUSIANO WAKO WA KIMAPENZI KATIKA UBORA WAKE NA MVUTO PIA.............KWA PAMOJA KILA TATIZO TWAWEZA LITATUA KAMA TUTAPATA TAARIFA KAMILI NA MATIBABU SAHIHI.....ASANTENI SANA
FOR MORE DETAILS CALL ME BY 0654158574
................................................WE SHARE, WE CARE.......WELCOME

Akimaliza akitaka kurudia round ya pili ni kwa kulazimishia yani anakuwa hayupo fully erect sometimes anaweza akawa anatamani kabisa kufanya lakini in the middle of kufanya tendo nasikia kabisa kwamba jogoo amesha sinyaa basi inabidi tuishie hapo mpaka after a while tunajaribu tena kuna kipindi mazoezi alikuwa anafanya lakini sasa naona ameacha
Tatizo lake ni psychological mshauri atafute dakitari wa masuala ya uzazi

Duh wengine tunatatizo ngoma ina simama mpaka inauma na inapoa ukipiga master sasa sijui na ilu tatizo au normal

Nilikutana nae chuo kwenye masomo ya degree ya pili, ni mwanaume mwenye umri miaka 30 (mimi 24). Ni kijana mtanashati, mcha Mungu mwenye upendo na malengo ya maisha. Safari yetu ya mahusiano ilianza baada ya masomo yetu kuisha.

Tulipoanza kukutana faragha ndipo nilipogundua kwamba ana tatizo la Erectile Dysfunction (jogoo hawiki), yani kama akiwika basi erection inakuwa very weak. Nikamuuliza nini tatizo, hakunificha akanielezea tatizo lake kwamba alikuwa anafanya sana masturbation toka yupo primary mpaka amemaliza chuo for about 15 years and it has affected him psychologically.

Naelewa jinsi gani being able to satisfy a partner is to a man na kama akishindwa inamuaffect kwa kiasi gani, so I understood his struggle basi nilimuelewa na akaniambia ni tatizo linatibika ila nikamshauri asijekujaribu short cuts za madawa ya waganga wa kienyeji just because of the pressure ya kupona haraka.

Nikaahidi kumpa muda na support alishughulikie tatizo lake (meaning abstaining from porn n masturbation) na alisema alivyoona madhara yake with his previous gf's akaanza kulishughulikia kama 2 years ago kabla ya sisi kuanza uhusiano tatizo linakuja kwamba sasa yapata miezi 9 naona tatizo bado lipo,, I play my part as a partner kumfanya mawazo yake yote yawe kwangu yani anione mimi desirable n apate proper erection instead of kuvuta hisia za porn.

Na pia tatizo jingine ni kuwa ameloose confidence kiasi kwamba ana doubt mapenzi yangu kwake, kwahiyo muda wote he questions my true feelings, jambo hili hunikera sana japo nimeshamueleza ila bado haachi, najaribu kumuelewa kwasababu yote hii ni a result of his ED problem.

Sasa wadau swali langu ni je, hili tatizo huwa linatumia muda gani kupona, yani mtu kuweza kurudia katika hali yake ya kawaida?? Na akiweza kurudia hali yake ya kawaida are the results permanent??

(This is a serious question) thanks in advance
Dada mazoezi ndo dawa ya upuuzi wote huo trust me. Aanze tizi la uhakika asubuhi na jioni. Ndani ya wiki 3 tu utaniambia. Lakini sio mazoez eti kunyanyua chuma kuvimbiana. Mazoez ya viuno vyote vya mwili sana sana ya kumpa pumzi na kujenga stamina. Automatically Blood circulation itakuwa inatake place vizuri ndani ya uume wake na utakuwa unasimama kwa nguvu. Hakuna mchawi. Hata mimi nliwahi kutaka kufika huko ila sasa hivi ukinipa mzigo utafurahi na roho yako

Tumia Kei yako kumpigisha nyeto, kumbuka kuflex na kurelax vaginal muscles.

Hii ni page ya 10 sasa wadau wanatoa maoni na ushauri wao kuhusu tatizo lako TrapQueen lakini mpaka sasa hujatoa mrejesho kama hayo mawazo na ushauri vimesaidiaje mhanga.

Mpikie uji wa ngano weka na mbegu zake tia nazi nzito mpe kwa Muda wa wiki moja kila jion thn tafuta vumbi LA Kongo apake kwa siku moja tu ata kaa juu yako kwa Muda wa lisaa siku zits kazoo fwata atakuwa fresh kbs

1. 1. Punyeto humfanya mtu awe mlegevu bila kua na nguvu kabisa mda wote kwani nguvu nyingi sana hutumika kwenye tendo hili.

1. 2. Ni moja ya chanzo kikuu cha kupoteza nguvu za kiume kwasababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati mtu akijisugua.

1. 3. Punyeto hupunguza idadi ya mbegu za kiume{low sperm count} hivyo ni mbaya sana kwa wapenzi wanaotafuta mototo.

1. 4. Husababisha mtu kusahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi.

1. 5. Humfanya mtu awe mchovu mda wote na kusinzia ovyo kila anapomaliza kupiga punyeto.

1. 6. Husababisha mwanaume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndo na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni..{pre mature ejaculation}

1. 7. Husababisha msongo mkubwa wa mawazo kwani kila ukimaliza tendo hilo unajuta sana na kuapa kwamba hutarudia tena.

1. 8. Huleta utumwa wa kifikra kwani ukishaanza huwezi kuacha kirahisi{ addiction}

1. 9. Punyeto husababisha mwanaume au mwanamke kukosa hamu kabisa na mwenza wake hivyo kuleta usumbufu kwenye mahusiano.

1. 0. Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya zinaa kama kaswende, gono na ukimwi kirahisi sana.

Weweee mbna mi nimepiga sanaa punyeto na sina side effect zozote zaidi nimekuwa much more better.piga punyeto kwa marengo na itakusaidia
Ila ukipiga2 ilimradi umwage ngo insue
Na kibaya ni kupiga punyeto uku unaangalia video za X
Mi nilikuwa napiga punyeto kwa marengo ya kuchelewa kumwaga na kuondoa refractory period na i was successive in that
Xo usikalilishwe jombaa

Back
Top Bottom