Habari wakuu,

Nilitaka kujua ni madhara gani mtu anayopata kwa kupiga punyeto kwa muda mrefu? Mfano miaka mitano na kuendelea na nini faida zake kwa tendo hilo?
Faida kusema ukweli mzee hakuna kama unaweza acha ila kitu ambacho ni kibaya inasemekana kuwa hupenguza uwezo wa kufikiri na kusahausahau mambo jaribu kuwafuatilia wapiga nyeto utagundua...
 
Atakayekuambia kuna dawa ya kupiga nyeto anataka kukutapeli, maana ile kitu ipo kwenye mind na anayesimamia ni wewe mwenyewe, so ukitaka kuacha ni uamue wewe Mwenyewe, mi naweza kusema dawa ya kuacha puchu ni labda upigwe rungu kichwani uwe zuzu ndipo utaancha ila katika hali ya kawaida kuiacha ile ni maamuzi yako mwenyewe
 
Haya tumempata mwana Chaputa mpya yeye ameitumikia Chaputa kwa miaka 35 na bado ni mwanachama tumuitaje huyu!
 
Tafiti zinasema kuwa wanaume 80%+ wameshawahi kupiga punyeto. Kama madhara ndo hayo basi watu wasingeoa. naona kama mnakuza sana sana madhara ya punyeto na mtawaathiri sana vijana kisaikolojia. Let nature take its course. Punyeto ni natural pia. msiwatishe watoto na kuwaletea matatizo baadaye wakati na nyie mmpepiga punyeto na mko poa tu.
 
Hawa chaputa wanavioja mno...

Kuna ambao walikuwa wakishindana kurusha sperm kwa kuchoreana mistari

Kuna ambao kwa kitendo kile kilifanya ubongo uprocess image za ajabu mfano mama, bibi, walimu, wanafunzi, mameneja si wafanyakazi wenzao nk...

Wengine waliwehuka pale walipokamatwa na kukimbia huku magoli yakiwa on the moment

Hali hii imezidi mpaka kwenye misongamano mikubwa mfano kwenye foleni.. Kwenye madaladala yaani siku hizi kuna watu wanachaputa wame advance wana tumia virtual energy ku process kwenye ubongo wao na ku fikia kileleni.

Huko maofisini baada ya haya ma cctv kuwa yamekithiri na wanachaputa watagundulika basi kwasasa wanacho consider ni resources yaani wapo radhi wa calculate angle za camera sio ili waive nop ni ili wafanye yao..

Inshort chaputa ndo imekuwa kama bangi au mrungi au ugoro mpya kwa wana tz kwao wao ili mtu awenafuraha na amani awe na power ya kufanya kazi bila hofu ya jinsia aidha kwa ku presents au kudiscus au kuhakikisha anafanya atakacho kifanya kiwe perfect huwa ni lazima vijana wetu wa chaputike... Ni tatizo.
 
Unasugua hadi ngozi iwe sawasawa na ile ya gotini sio………hatareeee
 
"Punyeto ama Mduro kwako wewe uko kwenye damu kuacha nyeto wewe ni sawa na Kipofu kununua Tochi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…