mpendwa,
japo mi si daktari, kwanza nipingane na wewe kuwa misuli ya miguu inakakmaa kwa sababu ya kujichua na kuwa unashindwa kutungisha mimba kwa sababu hiyo, eti mbegu hazipati muda wa kukomaa. hayo mawili si kweli (ila niko tayari kujifunza toka kwa wataalamu).
nijuavyo mimi, mbegu hutoka zinapokuwa zimezalishwa na zimehifadhiwa kwenye vifuko vyake. hapo unahitaji lishe tu kuweza kuwa na mbegu za kutosha. si kweli kuwa kutoa mbegu (iwe kwa kujichua au kwa ngono) kunasababisha zitoke kabla hazijakpmaa vya kutosha. mbegu si matunda kwamba zinahitaji kuvundikwa. Mungu alituumba kwa namna ya ajabu sana, kwamba zikiwa tayari kutoka huwa ziko tayari, hasihitaji kuvundikwa ili ziive au zikomae, mbegu za baba hazihitaji kukomaa bali yai la mama. kwa hilo ondoa hofu na unaweza kwenda hospitali pamoja na mkeo mpimwe wote ili kujua ukweli ni kwa nini hamtungishi miba.
kuhusu tabia sugu ya kujichua, hizo ndizo hasara za kumkaribisha shetani moyoni mwako, hata unapotaka kumfukuza anagoma kutoka. kujichua ni matokeo ya tamaa ya ngono katika umri mdogo ambao huwezi kuoa/kuolewa. imeandikwa, "unapojaribiwa usiseme unajaribiwa na Mungu, bali mtu hujaribiwa na TAMAA yake akisha kudanganywa na ibilisi"
nakushauri umrudie Mungu na kwa kuwa umeishaoa, ikubali SOLUTION ya Mungu kwamba mkeo ndio kimbilio lako kwa mahitaji kama hayo ya kupambana na ashiki. kama ni kutwa mara tatu mara kumi au mara ngapi, mueleze na naamini atakuelewa tatizo lako na mtakubaliana.
hapa hutapata msaada wa kukusaidia sana zaidi ya ule utakaopata kwa mkeo. jiamini na muamini Mungu na muamini mkeo.
hakuna lisilowezekana kwa Mungu
ubarikiwe sana mpendwa
glory to God!
Dada yangu tatizo la kutotungisha mimba katika case hii ni kutokukomaa kwa mbegu. Naomba tu aelewe hivyo nisingependa kutumia maneno mengi kukuchanganya bure. Mbegu huendelea na process za upevukaji katika safari yake yote ya kwenda kufanya fertilization. Ujue kwamba kinchozitoa mbegu ni muscle contraccion wakati wa orgasm na hivi huweza toka hata kama hazijawa tayari muda wowote huo zikikurupushwa na hii orgasm. Swala la misuli ya miguu ni justifiable kwa kuwa kuna hormone kibao zinazohuska na nguvu za misuli ya mwanaume. Hata swala la mwanaume kuonekana na misuli ya kiume ni tokeo la hormone hizi. Zaidi ya hayo wakati mwanaume akiejaculate karibu misuli yote ya mwili hukakamaa. Kwa kuwa jamaa yuko addicted baada ya muda ubongo unachain matukio kuanzia kwenye ubongo hadi kwenye misuli. Kwa lugha laini ni hivi.
we jamaa noumer sana!!! Chakufanya bana ni hiki. Jaribu kufunga kula kata mara 3 kwa wiki si unajua hiyo yote ni kazi ya ubongo sasa kama una njaa sana ktu haiwezi enda mnara kaka. Afu kula vyakula vinavyo punguza libido. Fanya mazoezi sana. Kama unashindwa oa mke wa pili na watatu. Nadhani wote hao hawaweze kufanana. Vilevile muogope mungu kwa hayo unaoyafanya, ikitokea umepata ajali mikono yote ikakatika uatafayaje?????
Hahahahaaaa nyie Punyeto ina raha yake..punyeto tamuu wandugu..unajua uzuri wa punyeto we ni kujikadiria,ukisema leo nataka kuvunja bikra basi unakaza mkono na lotion yako(sabuni inachubua sana),ukisema leo nipate kitu cha mnato bas unatanua mkono kidogo....ukitaka korongo basi unatanua kiganja na lotion kwa wingi...mi punyeto imeniweka sana mjini..una lotion yako na maji ya vuguvugu..walah hukumbuki vicheche.
Duuuuhhhhh,
Mara 3 kwa siku (tid), ina maana kwamba jamaa hafanyi kazi au anatumia toilet za kazini???
Hizi mindset nyingine ni hatari sana.....
Nitarudi next time!
Amen!
Miss Judith, Kama umesoma maelezo yangu hapo juu vizuri utakuwa umenielewa vibaya, Nimesema kuwa Dr, ndiye aliye niambia kuwa mbegu zina chukua siku 5 kokomaa toka ulipo mwaga kwa mara ya mwisho, hayo siyo maneno yangu bali ni ya mtaalamu wa maswala ya uzazi tuliyekwenda kumuona mimi na mke wangu.....
Swala na kwenda kupima tayari tulikwisha pima na kuonekana wote hatuna matatizo......Nimeona kuna sehemu umeandika nahitaji lishe ya kuweza kuongeza mbegu za kutosha je ni lishe ipi hiyo? ninge furahi ungenianishia hivyo vyakula tafadhali....
Ubarikiwe sana ndugu.
habari zenu ndugu zangu?
Mimi siyo kijana na wala siyo mtu mzima,naweza sema ni mtu wa makamo, nina tatizo ambalo hapo awali sikulichukulia kama linaweza kuwa naathari zozote kwangu....
Miaka ya 1991 hadi 1997 nilianza masomo ya olevel kwenye chule zetu hizi za boarding ambazo zilikuwa za jinsia moja tu ya kiume, na wakati huo ndio nilikuwa kwenye kipindi chaukuaji na kujitambua kimwili, hivyo basi kwa kutokana na madiliko ya kimwili vijana wengi shuleni pale tulikuwa na tabia ya kijichua (ponyeto) kutokana na kuona wenzangu wanapunguza makali ya ukame kwa njia hiyo na mimi nilikuwa mmoja wao na hatimae kuwa mtaalamu wa tendo hilo...
A level niliendelea na tabia hiyo hadi nilipoingia chuo na kuchanganyana na jinsia tofauti na kupata wasichana wakushirikiana nao kwenye tendo la ngono.. Japo nilipata msichana/wasichana siku weza kuacha tabia ya kujichua kwani niliona napata raha zaidi kwenye kujichua kuliko kushiriki tendo ilo na mwanamke, hivyo niliendelea na tabia hiyo na ilifikia kipindi nikishiriki tendo lile na mwanamke siridhiki hadi nikamalizie kwa kujichua.....
Baada ya kumaliza chuo niliamua kuoa, baada ya kuoa sikuweza kuachana na tabia hiyo kwani mke wangu hana pumzi za kutosha kuniimili, yeye anaridhika mapema zaidi yangu, na hawezi kwenda mzunguko zaidi ya mmoja, hivyo kitendo hicho kilinifanya speed yangu ya kujichua iongezeke, pia waifu alilifahamu jambo hilo..
Mwaka 2005, tulipata mtoto wetu wa kwanza, kutokana na mke wangu kuwa kwenye kipindi cha malezi ndio speed ya kujichua iliongezeka maradufu, yaani ilikuwa kutwa mara 3 kama vile milo,nilijichua asubuhi/mchana na usiku... Niliendelea hivyo hadi leo hii hapa sijaweza kuacha hata kupunguza kiwango cha kujichua, na usiku nisipofanya hivyo sipati usingizi kabisa.
Sasa mtoto wetu amekuwa na ana umri wa miaka 6 na toka mwaka jana tumefanya mpango wa kumtafutia mdogo wake pasipo mafanikio, na hii inatokana na kwamba mbegu zangu hazipati mda wa kukomaa ili kuweza kupevusha yai la mwanamke, nimejitahidi kuonana na madaktari wametupima na wakaona mimi na mke wangu hatuna tatizo kabisa zaidi ya kwamba niliambiwa niache kupiga ponyeto kwani mbegu zangu hazipati mda wa kukomaa, na akasema mbegu za mwanaume zinachukua zaidi ya siku 5 kuweza kukomaa ziwe nauwezo wa kupevusha yai la mwanamke
tatizo
tatizo linakuja ni kwamba siwezi kukaa zaidi ya siku mbili pasipo kufanya ponyeto, kwani nikikaa siku mbili tu bila kufanya hivyo, siwezi kulala na misuli ya miguu inakaza sana kitendo kinachonifanya nipige ponyeto atakama sitaki... Wife sasa amekuwa mkali sana anataka mtoto, na ameanza kunitolea maneno makali sana.... Hapa nilipo sijafanya hicho kitendo kwa siku nne na niko kwenye hali mbaya sana miguu inakufa ganzi mara kwa mara misuli inakaza sana hadi inakuwa taabu kwangu, kusema kweli nimejaribu mbinu nyingi sana kuacha mchezo huu kwa kushirikiana na mke wangu lakini wapi....
Hivyo basi nimeona siyo vibaya nikashare na nyie tatizo langu najua kwa njia moja au nyingine mnaweza kunisaidia kiushauri au kiutaalamu zaidi... Ushauri wenu ni muhimu zaidi ndugu zanguni, naomba kuwasilisha kwenu wanajf
Na kusubiria ndugu, natumaini utakuja na ufumbuzi wa ili tatizo!
Hahahahaaaa nyie Punyeto ina raha yake..punyeto tamuu wandugu..unajua uzuri wa punyeto we ni kujikadiria,ukisema leo nataka kuvunja bikra basi unakaza mkono na lotion yako(sabuni inachubua sana),ukisema leo nipate kitu cha mnato bas unatanua mkono kidogo....ukitaka korongo basi unatanua kiganja na lotion kwa wingi...mi punyeto imeniweka sana mjini..una lotion yako na maji ya vuguvugu..walah hukumbuki vicheche.
nashukuru mpendwa kwa ufafanuzi.
huyo daktari wako kuna kitu hajakiweka sawa. kama ni kweli kuwa ili mimba itunge unahitaji kutunza (kuvundika) mbegu kwa siku angalau tano ili zikomae basi suala la uzazi lingekuwa tabu kubwa sana kuliko tunavyoweza kufikiri. mfano kama usingekuwa unajichua na ukawa unakutana na mkeo kwa njia ya kawaida kila siku, ina maana pia usingeweza kutungisha mimba? kwa sbabau kila siku ungekuwa unamwaga na usingekuwa unazivundika!
kumbuka hata zile siku 3-5 za hedhi wengine hawamalizi na wengine hukimbilia nyumba ndogo! pia zingatia kuwa mababa na mababu zetu (na hata baadhi ya waamini wa kiislamu wa leo) wana wake rasmi zaidi ya mmoja, wakati wa hedhi kwa mmoja, huhamia kwa bi mwingine na kuenedelea kumwaga mbegu zake na cha kushangaza kote huko wanzaa! sasa kama mbegu hazitunzwi hata kwa siku tano, wanawake wote hao kwenye hizo chains wangezaaje? tafakati mpendwa.
vivyo hivyo kwa suala la misuli pia. kama linasababishwa na ejaculation peke yake, basi tatizo hili nalo wangekuwa nalo wanaume wengi sana manake just imagine how many men do ejaculate everyday? kama maelezo ya daktari wako ni kweli, tatizo la misuli si lingekuwa janga la dunia nzima? usiridhike na huyu daktari wa sasa, tafuta mwingine mwenye ujuzi zaidi unaweza kupata msaada.
nakushauri kuwa ni vyema ukafanyiwa uchunguzi vizuri wa misuli na mbegu zako na mtu wmenye utaalamu zaidi. kwa kweli pamoja na uelewa wangu mdogo katika masuala haya, ninapata shida kuamini haya mawazo ya daktari wako. hata hivyo ni mawazo yangu tu mpendwa.
nakutakia baraka za Bwana na nakupa pole sana
Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!
ninakuombea pia ujaliwe ombi lako la mtoto
tulihimidi jina la Bwana kila wakati
acha kuangalia porn mvz kama zipo kwa laptop zi delete mpaka kwenye recyclebin ili usije ukakumbuka nakuamua kurestore. pia muombe MUNGU akusaidie coz si kwa nguvu zetu