machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Mkuu usisahau punyeto na phonograph huenda sambamba halafu kuacha labda uende rehab maana ni shida ama zaidi uoe au upate mweza wa kusex naye ndio utaweza acha
Hongera yako!Mi nshaacha puli huu mwezi wa sita sasa na sitamani kabisa
Upo sawa!Puchu tamu jamani ohooo;!!!
Hilo nalo neno!Ukweli Addiction ya punyeto sawa na madawa tu... Ukishaingia huko kutoka ni ngumu zaidi utaidanganya nafsi yako na wanaokujali kua umeacha.... Ila kiukweli unakua umepumzika tu utarejea punde... Wapo wanaofanikiwa kuacha thou
Ukiweka nia ya dhati unaweza acha kabisa.Mkuu usisahau punyeto na phonograph huenda sambamba halafu kuacha labda uende rehab maana ni shida ama zaidi uoe au upate mweza wa kusex naye ndio utaweza acha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Puchu tamu jamani ohooo;!!!
Kuacha inawezekana Mkuu.Ushauri uliotoa hauwezi kusababisha mpiga puli akaacha.Labda umpe sababu za kusababisha kifo ndo anaweza kufikiria kuacha.
Teh teh teh teh teh................Hapa Pagumu Aisee!!!! Unaweza Jikuta Miaka 2 umeacha ikisha siku moja tu ukajikuta unajiripua kiroho safi huku ukiwa unajipa matumaini hutofanya tena..