Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kuacha ni ngumu sana, laakini umejitahidi kutoa ushaurii, wahanga wengi wa punyeto ni wanafunzi, muda mwingi wanakua wako peke yao na kujisomea ndani, yanapowajia mawazo haya huondoa haraka kwa punyeto na kuenndelea kusoma daftari au kitabu chake, iyo kutafuta mpenzi inaweza saidia lakini sio kwa wote, maana kua na mpenzi na kufanya sex ni vitu viwili tofauti, unaweza ukawa na mpenzi lakini hata kumkumbatia ukawa hufanyi
 
Ukweli Addiction ya punyeto sawa na madawa tu... Ukishaingia huko kutoka ni ngumu zaidi utaidanganya nafsi yako na wanaokujali kua umeacha.... Ila kiukweli unakua umepumzika tu utarejea punde... Wapo wanaofanikiwa kuacha thou
 
Hilo nalo neno!
 
Back
Top Bottom