Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wakinadada nao wanapiga punyeto?
Wadada naomba jibu tuwasaidie
Na mm ninamiaka 12 sasa nimekua muhanga wa puu[emoji13] [emoji13]Nina Mke Sasa Nina Mtoto Wa Kiume Niliwah Kua Muhanga Wa Punyeto Tangu Mwaka 2000 Mpaka 2011 Na Kuna Miaka Kama Kuna Sku Nlikosa Kupga Puli Ni Wiki 3 Madhara Yake Makubwa Mno Kwanza Mpaka Nimepata Nguvu Ya Kubebesha Mimba Aise Achen Hyo Kitu Mara Moja Madhara Yake Makubwa Sana.
Acha kuangalia video za ponography
Video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..
Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga
Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.
Epuka kukaa nyumbani peke yako
Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.
Fikiria kuhusu madhara yake
Kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.
Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho
Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.
Tafuta mpenzi kama huna kabisa
Ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.
Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine
Hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.
Ilinigarimu Kama Mwaka Mzma Na Miez Minne Kukaza Bila Kupractise Nyeto Namshukuru Mungu Nina Bahati Ya Kupata Mabint Wabich Na Kilichonisaidia Kuacha Kabisa Ni Huyu Mke Wangu Alikua Ananichana Live Nataka Wewe Ndo Uwe Mume Wangu, Nataka Wewe Ndo Unitoe Bikra Yangu Achana Na Hayo Mambo Ya Kujichua Akawa Mda Wote Yuko Na Mimi, Nilipata Consciousnes Kwa Kweli, Kama Kuna Mwanamke Mvumilivu Ni Huyu Mwanamke Aisee. . . Kwasasa Nacheka Na Nyavu Vibaya Kama Skuwah Kua Muhanga Wa 13yrsDuuh mkuu pole sana ila imani yangu umepona hilo tatizo [emoji17] [emoji18]
Sawa mkuu kumbe linawezekana kuachika me inasumbua sana manzi akiwa masomoni ni muumini mkubwa wa hiyo kitu vipi naweza kumshirikisha ikasaidia kuachana nayo kwa ushauri wako mana mpaka hapo najua vipi experience yako ingawa bado sijawa affected kama wew nna kama mwaka wa3 toka nianze hii kituIlinigarimu Kama Mwaka Mzma Na Miez Minne Kukaza Bila Kupractise Nyeto Namshukuru Mungu Nina Bahati Ya Kupata Mabint Wabich Na Kilichonisaidia Kuacha Kabisa Ni Huyu Mke Wangu Alikua Ananichana Live Nataka Wewe Ndo Uwe Mume Wangu, Nataka Wewe Ndo Unitoe Bikra Yangu Achana Na Hayo Mambo Ya Kujichua Akawa Mda Wote Yuko Na Mimi, Nilipata Consciousnes Kwa Kweli, Kama Kuna Mwanamke Mvumilivu Ni Huyu Mwanamke Aisee. . . Kwasasa Nacheka Na Nyavu Vibaya Kama Skuwah Kua Muhanga Wa 13yrs
Fanya hv achana na mambo ya kuwa idle,zchukie flm chafu,uwe unapga ata push up 50 a day, amua kuacha kwani ata unaposikia umesimamisha demand inakua kubwa sana sabubu uwezkano wa kujichua unakuepo so ukikaza siku ya kwanza jitahd mpaka umalze wiki endlea mpaka mwez,miez atmaye mwaka ukizdiwa sana kunasku utaota utapga bao hapo jua demand yako kubwa na uwezo wako umeanza kukurudia ukijitahd hvyo utaacha na kuwashangaa wanaoendlea nayo..Sawa mkuu kumbe linawezekana kuachika me inasumbua sana manzi akiwa masomoni ni muumini mkubwa wa hiyo kitu vipi naweza kumshirikisha ikasaidia kuachana nayo kwa ushauri wako mana mpaka hapo najua vipi experience yako ingawa bado sijawa affected kama wew nna kama mwaka wa3 toka nianze hii kitu
Kuanza Kujchua Ni Easy Lakn Price Ya Kuacha Nyeto Ni Kubwa Vbya Sana.. Ofcoz As I Said Mwanzni Huyu Mke Wangu Alnisaidia Nlikua Ni Mimi Na Yeye Tu Ubya Wa Nyeto Unakua Ukikutana Na Dmu Huridhk Mkiachana Tu Unataman Uwe Nae Akiwepo Chako Cha Kzee So Yataka Maamuz Kweli Kikubwa Ni Kufanya Jogging Au Mazoez Ya Kuchosha Mwili Hapo SafAiseeeeeeee hii ya kushindwa kukata sild ilishantokea yani daaaaah ...... yani kuhusu nyeto nilikuaga mvumilivu mwezi wa ramadhani kama huu tu but now nashukururu sijapiga ktambo na ....vipi katika huo mda wa tiba hata mapenzi hukufanyaga kabisa au uliacha nyeto tu
Yaani hiyo avatar yako tu inaweza sababisha mtu apige kmoja cha fasterHili ni janga lisilo tangazwa ila lipo na ni ngumu kuji nasua ila kma ukibadili mtindo wa maisha inawekana hasa matumizi ya smartphone na internet
Ngoja nitatumia njia hizo mana haja yangu ni kuachana nayo kabisa mkuuFanya hv achana na mambo ya kuwa idle,zchukie flm chafu,uwe unapga ata push up 50 a day, amua kuacha kwani ata unaposikia umesimamisha demand inakua kubwa sana sabubu uwezkano wa kujichua unakuepo so ukikaza siku ya kwanza jitahd mpaka umalze wiki endlea mpaka mwez,miez atmaye mwaka ukizdiwa sana kunasku utaota utapga bao hapo jua demand yako kubwa na uwezo wako umeanza kukurudia ukijitahd hvyo utaacha na kuwashangaa wanaoendlea nayo..