Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Nina Mke Sasa Nina Mtoto Wa Kiume Niliwah Kua Muhanga Wa Punyeto Tangu Mwaka 2000 Mpaka 2011 Na Kuna Miaka Kama Kuna Sku Nlikosa Kupga Puli Ni Wiki 3 Madhara Yake Makubwa Mno Kwanza Mpaka Nimepata Nguvu Ya Kubebesha Mimba Aise Achen Hyo Kitu Mara Moja Madhara Yake Makubwa Sana.
Na mm ninamiaka 12 sasa nimekua muhanga wa puu[emoji13] [emoji13]
 
Naona Wapiga puli wawe na uzi wao maalum alafu sasa tumlete mtaaalam wa saikolojia.

Pili tuanzishe chama cha wapigaapuli na tuombe msaada serikalini ili kupewa dawa kama mateja wanavyopewa kule mwananyamala.

Tatu,chama kitangazwe na mkutano ufanyike kupata Mwenyekiti ambaye sifa zake ni Awe Kapiga Puli si Chini ya Miaka 20,miaka 10,mweka hazina Miaka 5 .
 
NI MUHIMU KUTOLICHUKULIA SO DIFFICULT. YOU KNOW HATA DHAMBI IMEKUWA NGUMU KUACHA MAANA IMEAMBIWA NI NGUMU. I TRY TO EMARGINE WALE LOST TRIBE MBONA WANAKAA UCHI NA WANAWEZA? NAWAZA HIVI UKITAKA KUACHA HEBU USILICHUKULIE KUWA NI PROGRAM ILA KUWW NI JAMBO LA KAWAIDA TU NA UKIACHA WAKATI HUO HAKUNA MADHAR UNAWEZA KUPATA.
 
Acha kuangalia video za ponography

Video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..

Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga

Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.

Epuka kukaa nyumbani peke yako

Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.

Fikiria kuhusu madhara yake

Kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.

Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho

Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.

Tafuta mpenzi kama huna kabisa

Ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.

Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine

Hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.

Yani isinge kuwa kwa huu uzi na Google translate nisingejua punyeto ndiyo neno la kiswahili la masturbation.
lakini huu uzi ni jitihada nzuri na kunamengine ninaweza kuongezea yamuhimu zaidi kwenye kuacha kabisa punyeto. Alafu hili neno linanichekesha hata kulisema lol.

1: Tafuta mtu unaye muamini atakaye kuwajibisha uwe muaminifu kwenye kutokuangalia picha chafu na kufanya punyeto. Huyu mtu awe na password ya simu au laptop yako na awe anaikagua kwa gafla gafla.
2: Punyeto ina madhara kwenye juhudi zako na mafanikio yako maishani yani inakufanya uwe mvivu na uwe umeridhika na hali ya maisha yako. Hii ni kwasababu kwenye ubongo, mishipa ya ume wako haiwezi kutafautisha kati ya mkono wako au mwanamke, na inakupa reward kwenye reward centers ya brain na unajiskia kama ulichofanya ni kitu kizuri na urudie. Hivi ndivyo unavyokua addicted. Ndivyo tulivyoumbwa tupende tendo la ndoa na kulifanya na mwanamke lakini siyo wenyewe.
3: Punyeto inaharibu uwezo wako wakuongea, na kujieleza hasa hasa kwa wasichana kwasababu kiasili usingekua unafanya punyeto ungekuwa na jitihada kwenye kuongea na wanawake na ungedevelop skills zinazohitajika lakini kama umezoea punyeto hutaweza kuongea na wanawake kwa kujiamini.
4: Usikate tamaa kama kila hapa na pale unarudi kwenye hiki kitendo bado jitahidi kukiacha kila mara kwa mda mrefu zaidi ya mara ya mwisho. Inawezekana kuacha hii tabia watu wengi wanaifanya na wapo YouTube kwenye kikundi kinaitwa NOFAP.

 
Kwa suala la punyeto, ili uache paka pilipili mikononi kila unapolala au unapojisikia kupiga. Ukiwa unaoga usipende kujishika kabumbula
 
Duuh mkuu pole sana ila imani yangu umepona hilo tatizo [emoji17] [emoji18]
Ilinigarimu Kama Mwaka Mzma Na Miez Minne Kukaza Bila Kupractise Nyeto Namshukuru Mungu Nina Bahati Ya Kupata Mabint Wabich Na Kilichonisaidia Kuacha Kabisa Ni Huyu Mke Wangu Alikua Ananichana Live Nataka Wewe Ndo Uwe Mume Wangu, Nataka Wewe Ndo Unitoe Bikra Yangu Achana Na Hayo Mambo Ya Kujichua Akawa Mda Wote Yuko Na Mimi, Nilipata Consciousnes Kwa Kweli, Kama Kuna Mwanamke Mvumilivu Ni Huyu Mwanamke Aisee. . . Kwasasa Nacheka Na Nyavu Vibaya Kama Skuwah Kua Muhanga Wa 13yrs
 
Ilinigarimu Kama Mwaka Mzma Na Miez Minne Kukaza Bila Kupractise Nyeto Namshukuru Mungu Nina Bahati Ya Kupata Mabint Wabich Na Kilichonisaidia Kuacha Kabisa Ni Huyu Mke Wangu Alikua Ananichana Live Nataka Wewe Ndo Uwe Mume Wangu, Nataka Wewe Ndo Unitoe Bikra Yangu Achana Na Hayo Mambo Ya Kujichua Akawa Mda Wote Yuko Na Mimi, Nilipata Consciousnes Kwa Kweli, Kama Kuna Mwanamke Mvumilivu Ni Huyu Mwanamke Aisee. . . Kwasasa Nacheka Na Nyavu Vibaya Kama Skuwah Kua Muhanga Wa 13yrs
Sawa mkuu kumbe linawezekana kuachika me inasumbua sana manzi akiwa masomoni ni muumini mkubwa wa hiyo kitu vipi naweza kumshirikisha ikasaidia kuachana nayo kwa ushauri wako mana mpaka hapo najua vipi experience yako ingawa bado sijawa affected kama wew nna kama mwaka wa3 toka nianze hii kitu
 
Sawa mkuu kumbe linawezekana kuachika me inasumbua sana manzi akiwa masomoni ni muumini mkubwa wa hiyo kitu vipi naweza kumshirikisha ikasaidia kuachana nayo kwa ushauri wako mana mpaka hapo najua vipi experience yako ingawa bado sijawa affected kama wew nna kama mwaka wa3 toka nianze hii kitu
Fanya hv achana na mambo ya kuwa idle,zchukie flm chafu,uwe unapga ata push up 50 a day, amua kuacha kwani ata unaposikia umesimamisha demand inakua kubwa sana sabubu uwezkano wa kujichua unakuepo so ukikaza siku ya kwanza jitahd mpaka umalze wiki endlea mpaka mwez,miez atmaye mwaka ukizdiwa sana kunasku utaota utapga bao hapo jua demand yako kubwa na uwezo wako umeanza kukurudia ukijitahd hvyo utaacha na kuwashangaa wanaoendlea nayo..
 
Dawa ya nyeto ni kuacha mwili wako kuendeshwa na kichwa cha chini .... Yaani acha kabisa kuwaza kwa kutumia kichwa cha chini kabisa
 
Aiseeeeeeee hii ya kushindwa kukata sild ilishantokea yani daaaaah ...... yani kuhusu nyeto nilikuaga mvumilivu mwezi wa ramadhani kama huu tu but now nashukururu sijapiga ktambo na ....vipi katika huo mda wa tiba hata mapenzi hukufanyaga kabisa au uliacha nyeto tu
Kuanza Kujchua Ni Easy Lakn Price Ya Kuacha Nyeto Ni Kubwa Vbya Sana.. Ofcoz As I Said Mwanzni Huyu Mke Wangu Alnisaidia Nlikua Ni Mimi Na Yeye Tu Ubya Wa Nyeto Unakua Ukikutana Na Dmu Huridhk Mkiachana Tu Unataman Uwe Nae Akiwepo Chako Cha Kzee So Yataka Maamuz Kweli Kikubwa Ni Kufanya Jogging Au Mazoez Ya Kuchosha Mwili Hapo Saf
 
punyeto haina madhara,uoga wenu na story za vijiweni ndio unasababisha mshindwe kushiriki tendo la ndoa.
Binafsi nimeanza punyeto tangu darasa la 7 mpka namaliza chuo pale MUHAS bado napiga punyeto,nimeacha punyeto baada ya kuoa.
1-sijawahi kupata madhara ya punyeto napiga mpka bao 4.
2-uume haujasinyaa sio mdogo kama mnavyo-danganyana.
3-sina matatizo ya kusahau,sikupata uchovu wa mwili na kiakili.
NB:life style zenu ndio zinawafanya msiwe na nguvu za kimwili ata za kiume,unakula chips yai+soda,mnajishindilia vyakula vya mafuta mnategemea hizo nguvu mtazipata wapi???
mazoezi hamfanyi mnategemea nguvu mnatazipata wapi???
 
Fanya hv achana na mambo ya kuwa idle,zchukie flm chafu,uwe unapga ata push up 50 a day, amua kuacha kwani ata unaposikia umesimamisha demand inakua kubwa sana sabubu uwezkano wa kujichua unakuepo so ukikaza siku ya kwanza jitahd mpaka umalze wiki endlea mpaka mwez,miez atmaye mwaka ukizdiwa sana kunasku utaota utapga bao hapo jua demand yako kubwa na uwezo wako umeanza kukurudia ukijitahd hvyo utaacha na kuwashangaa wanaoendlea nayo..
Ngoja nitatumia njia hizo mana haja yangu ni kuachana nayo kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom