upo sawa kabisa.
 
mkuu bullar hiyo picha ulioweka kama profile pic inachangia kuchochea haya mavituz...
napata wasiwasi kama kweli unawatakia mema wanachama wa CHAPUTA hapa jf,
kaaaaazi kwelikweli...teh teh teh teh!!!
Mkuu watu wengi wanaopiga punyeto na kupoteza nguvu za kiume kosa lao ni kwamba wanatumia sabuni kujichua. Punyeto ambayo haina madhara unatakiwa utoboe godoro kashimo then unakuwa unaingiza hapo dushele, raha sana unakuwa kama una du na mwanamke pia hakutakuwa na deformation ya dushele.
 
Pia wanaume nawashauri mkiona sisi wadada tumekaa vizuri na mapaja yapo nje msiangalie maana nayo inawapunguzia hamu ya ku-duu
 
mkuu bullar hiyo picha ulioweka kama profile pic inachangia kuchochea haya mavituz...
napata wasiwasi kama kweli unawatakia mema wanachama wa CHAPUTA hapa jf,
kaaaaazi kwelikweli...teh teh teh teh!!!
kazi na dawa! fata maneno yangu usifate vitendo vyangu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 

kinga pia inasaidia kuepukana na magonjwa kwanini usitumie kinga baadala ya kujidanganya kwamba punyeto ni kitu chakujivunia. Na ukiwa na uhusiano na binadamu ni mtamu zaidi kwasababu hauishi kwenye mapenzi bali unaendelea kwenye fikra na maisha.
 
Pia wanaume nawashauri mkiona sisi wadada tumekaa vizuri na mapaja yapo nje msiangalie maana nayo inawapunguzia hamu ya ku-duu
hyo ngumu sana,hata ndugu wa damu akikaa vbaya lazma uangalie kwanza ndo uache kuangalia,yani ukiona partilally,lazma ugeuke uone vzuri halaf ndo ujizuie kurudia mara ya pili,lakini kama mtu mwingine ambaye hata kumgegeda unaweza lazima upige chabo mwaaa mwiii.
 
Expart
 
Hapa Pagumu Aisee!!!! Unaweza Jikuta Miaka 2 umeacha ikisha siku moja tu ukajikuta unajiripua kiroho safi huku ukiwa unajipa matumaini hutofanya tena..

kukosea mara moja haimaanishi umerudi kwenye tabia nzima. Kuna wengine wanaweza kuacha mara moja kwenda milele hatawasifikirie na wengine wanaweza kuacha lakini na kuwa na vikwazo hapa na pale. Haimaanishi wakate tamaa lakini inamaanisha wajitahidi kuivunja recodi yao ya kuacha kwa muda mrefu bila kurudia.
 
Hiyo ya eti unajisemea utacha kupiga puchu kweli nimeamini haiwezekani ukaacha mm nilishawahi kuandika hivyo lkn nilishindwa kbs, nikaona narudia tena kupiga pull
 
Ahahhahaahaa, mkuu umepitia magumu sana, hata mm naweza kaa hata mwez lkn inafika cku najipa matumaini kuwa cjafanya cku nyingi
 
Ushauri uliotoa hauwezi kusababisha mpiga puli akaacha.Labda umpe sababu za kusababisha kifo ndo anaweza kufikiria kuacha.

siyo ushauri wenyewe unamfanya mtu kuacha ni mtu kuelewa maisha yake na kama antaka kuenda mbele inahitaji abadilishe tabia kadhaa. Punyeto inaweza ikawa tabia moja kati ya tabia nyingi tu ambazo mtu anazo zinazomsababisha kufeli maishani. Tabia kama kuto kusoma vitabu, uvivu, kukaa nyumbani mda wote, kuangalia tv kwa wingi, kula diet mbaya, ulevi, kutokua na kazi, kutokua na marafiki e.t.c
Kuacha punyeto inahitaji kufwata na kuacha tabia zingine pia ambazo zinamfanya mtu asiwe na mwelekeo.
 

hahaha unaweza kwenda Protect Yourself! | K9 Web Protection - Free Internet Filter and Parental Control Software ukapata software yakukuzia kama unaangalia picha chafu kupitia mitandao yako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…