Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Kweli inasaidia sana hasa kipindi mko kwenye sintofahamu na mwandani wako! A.k.a Baby.
 
NIN HATARI KWA AFYA YAKO
NI FEDHEHA KWA WANDANI WAKO
NI AIBU KWA MTU AKAKUFUMA
NI DHULMA KWA WANAWAKE
INA AROSTO KALI SANA
USIJARIBU KABISAAAAAAAAA BISHA UTANIKUMBUA
Fact mkuu ukiacha huo mchezo utakua huru kiakili, kimwili na kiroho na utaona hata busara zinaanza kutoka kinywani mwako kwan hata ubongo unakua umejengeka vilivyo.
 
Watu kuacha SELFIE ni ngumu labda wasikie au waone kuwa kuna mtu amefariki na uchunguzi umebaini kuwa chanzo cha kifo cha marehemu ni kujipiga SELFIE[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Acha kuangalia video za ponography

Video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako..

Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga

Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.

Epuka kukaa nyumbani peke yako

Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.

Fikiria kuhusu madhara yake

Kila aliyewahi kupiga punyeto kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea kutopiga punyeto.

Acha kusema eti hii punyeto ni ya mwisho

Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.

Tafuta mpenzi kama huna kabisa

Ukiwa na mpenzi madhara ya punyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa punyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.

Anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine

Hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.
Yote katika yote ni Kumgeukia Mungu, ni dhambi kama ilivyo zingine, tubu, omba rehema na Mungu atakuwezesha.
"Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu" Wafilipi 4:13
 
Utamu wa puchu ni kwamba unampata demu yeyote duniani, ukimtaka miss Chaga unamgegeda chumbani kwako bila ya yy mwenyewe kujua, hata malkia Elizabeth una weza ukamgegeda tu bila ya kukuzungusha wala nn. Ila ukimfuata miss Chaga live atakwambia oh mi na mtu, ila ktk puchu hachomoi.
 
Mkuu arosto yake sio mchezo mimi nikiwa hata katikati ya ibada natokaga nje fasta naenda chooni napiga moja chapu alafu narejea kuendelea na ibada..arosto yake ni noma halafu kama ndio umeilekezaga kwenye vyura waliofunga zigo la uhakika pata picha ndani ya kanisa wanavyowekaga mibano na mitetemo ndio mana nawahigi toilet kunyetuka kupoza kipururu ili niweze kukonsetrate
 
kuna mama anauza dawa nusu dozi 75000 na dozi kamili zidisha hyo mara mbili.
 
Kutokana na matatizo ya nguvu za kiume na watu kuhitaji kuongeza maumbile ya kiume bas leo hii nimeamua kuwaletea sehemu ndogo tu ya mbinu za kutibu nguvu za kiume na kuongeza ukubwa wa umee

TIBA YA PUNYETO

Sasa nakuja kwenye punyeto na kutibu hilo tatizo na kuwa nguvu za kiume kama kifaru dume
Pia wenye tatizo la nguvu za kiumee tumieni hizi mbinu.

Naomba nieleweke hiv mtu mwenye tatizo hilo anatakiwa kufuata mambo yafuatayo Nina uhakika atapona kabisa na nguvu kama zamani inatakiwa afanye mambo yafuatayo japo ni mashart magumu kidogo kwani unatakiwa ukae miez 4 had miez 6 bila kufanya mapenzi .ntawambia faida zake ukiweza kuwa hiv kwanza utakuwa na nguvu za kiume za ajabu yaan utazid hata zile za awal utakuwa umeweza kuongeza nguvu za kiume kwa kiwango kikubwa zaid na utakuwa umejenga uwezo Mkubwa wa kuwa na kiwango kikubwa cha mbegu za kiume . faida nyingine utafanikiwa kuongeza ukubwa wa **** yako hasa unene wa **** na kupitia zoez hili utakuwa umezuia tatizo la **** kusinyaa na kuwa kadogo jambo jingine utaweza kujenga mwili wa mvuto kimapenz yaani utakuwa na six pack.

Onyo: usifuate masharti, hutaweza kufanikisha zoez hili.

Vyakula unavyopaswa kuvitumia wakati kutibu tatizo hilo(unaweza kutumia vyakula vingine ila hiv ntakavyokutajia hakikisha unatumia)
kula ugali wa dona faida yake ni kuwa utaongeza uwezo wako wa nguvu za kiume na mbegu za kiume pia zitaimarika zaimbivu samaki aina zote, maziwa fresh, maharage, kunde, mboga za majani, mihogo, viaz vitamu, tumia mafuta alizeti, ufuta au mawese..

Tumia matunda
parachichi,ndizi mbivu, machungwa,chenza,madalanzi,maboga,tikiti maji,papai,Nana's,tende,nyanya,pera,kitungu maji,saumu,zabibu,karoti,madafu,bamia,bilinganya.mayai ya kienyeji na n.k

Jinsi ya kuondoa tatizo la punyeto kwa kutumia njia hii unakuwa nguvu ya kuipatia misul nguvu zaidi

Chua uume wako kwa kutumia kitunguu swaumu.

Unatakiwa kipindi chote ukiwa unatumia dozi hii ni unatakiwa kuchukua **** yako kwa vitunguu vyaumu kila siku kabla ya kulala unaweza kutwanga punje kama tank hiv na ukachua vizur. Faida yake ni kuwa hii inasadia kuipa nguvu mishipa ya uume wako na kuweza kurudisha hali yake ya nguvu kama awali.

Unatakiwa kula kalanga Lita 1 kwa wiki kwa hiyo kwa mwez unatakiwa utumie lita 4 za kalanga kwahiyo kwa miez 4 had sita unatakiwa utumie lita 20 had 24 za kalanga.

Unatakiwa utumie tangawiz kila siku.hii ni kwamba unatakiwa utwange tangawiz mbichi na uchemshe kisha kunywa . hapa hutakiwi kuchanganya na kitu chochote kile na unatakiwa ukitumie ikiwa ya moto wastan na sio iwe ya vugu vugu.unaweza kutumia asubuhi au jioni.

Unatakiwa kunywa maji mengi sana kwa Siku ni vyema ukiweza kunywa maji kuanzia Lita 3 had 5 kwa siku hii ni muhimu sana. Unatakiwa kuchukua pia uumee wako kwa asali mbichi sio ya kuchemshwa . chua uume wako kila siku unapo amka na ukisha chua unalamba kijiko kimoja pia chua jion na utalamba kijiko kimoja cha asali.

Jitahid kutumia matikit maji kwa wiki wasta tumia tikit maji 1 kwa wiki moja na matikit maji 4kwa mwez had miez 4au 6itimie unatakiwa utumie kila wiki yai moja au 2 had umalize doz hii ya miez 4au 6.

Unatakiwa kupasha uume wako kwa kitambaa cha moto wastani. Hapa ni hivi, chemsha maji afu yakiwa ya moto wastan utatakiwa kupaka uume wako mafuta ya zaituni na kisha chukua kitamba chako kikiwa cha moto wastan funika uumee wako afu uwe una vuta **** kwa kuvuta kwenda mbele .rudia zoez hili mara 3 .Fanya kila siku had umalize doz .unaweza kufanya muda wowote unaopenda ilimrad una muda.

&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56393[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55356[/HASHTAG];&[HASHTAG]#57343[/HASHTAG];unatakiwa ufanye mazoez hakikisha kila siku unapiga push up 20 asubuhi na jion 20 na ukiwa na muda fanya zoez la kukimbia au nunua kamba na uruke ruke ukiwa kwako
&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56393[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55356[/HASHTAG];&[HASHTAG]#57343[/HASHTAG];unatakiwa ujiamin na kuwa wewe una nguvu za kiume huna tatizo
&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56393[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55356[/HASHTAG];&[HASHTAG]#57343[/HASHTAG];hii ndiyo sharti gumu na ukikosea tu bas hutaweza kupona hata kidogo. Na tatizo litakuwa kubwa zaid ya awal. Ni hiv kipind chote hiki hutakiwi kufanya mapenz na mtu yoyote yule au kupiga punyeto. Kwa ukifanya hivyo utakuwa umeharibu tiba yote. Kwa sababu kipind hiki mishipa na viungo vyote vya kiume vitakuwa na kaz moja tu kujenga uwezo wa awal na kurudisha nguvu za awali za kiume hivyo kuipatia nafas mishipa yote kuwa imara na kuimarisha uwezo was kufanya mapenz. Hapa ili uweze kufanikisha hili ni vyema ukajadiliana na mkeo/mpenzi wako kuhusu hili tatizo lako na jinsi unavyotaka kutibu ili uweze kuwa kidume kama awal
&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56393[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55356[/HASHTAG];&[HASHTAG]#57343[/HASHTAG];utatakiwa kufanya mazoez ya kegel. Haya ni mazoez maalum ya kujenga uwezo wa mishipa kuwa na nguvu kama kifaru dume
&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56393[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55356[/HASHTAG];&[HASHTAG]#57343[/HASHTAG];kula ugal wa dona
&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG]; Mazoez maalum ya kukujenge uwezo na kuupatia mgongo nguvu mazoez haya yatakusadia kuondoa maumivu ya mgongo na pia nakushaur penda kulala kwenye cement au udongo ila pawe tambala na ukiwa na hayo maumivu ya mgongo au kiuno yatapungua au kuondoka kabisa. Unapo lala lalia mgongo huku ukitazama juu unaweza kulala SAA 1 au zaid au ukihitaji mazoez mengine download video za Abs workout level up to 8 six pack

&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];
Mbinu za kutibu tatizo la punyeto

&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];

Mazoezi: kama wewe ni mtu unayeishi bila
mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo,
hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau
nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba,
push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika.
Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa
damu ue mzuri na wewe usimamishe uume
vizuri. Pia zoez la kegel ni zur zaid kwa kujenga misuli ya uume
Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani
yatakumaliza nguvu za kiume.
&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];
Kula chakula bora cha asili ; vyakula vya
viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio
vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi
cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani
hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo
analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula
ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga,
korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili
unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama
kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.
Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa
uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa
damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi
ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume.
Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu
unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya
uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa
kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo
vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine
damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye
ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye
uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya
ziada kwenye uume wako kwa kunywa maji
mengi.


&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG]; chuo cha mapenzi&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];&[HASHTAG]#55357[/HASHTAG];&[HASHTAG]#56478[/HASHTAG];

Duh
 
kila siku watu tumekuwa/wamekuwa wakiuliza kuhusu kuacha na madhara ya kujiselfisha sawa
Basi sasa tumeona madhara yake , kwa wale walio acha watusaidie

Suluhisho la kudumu kwa mpigaji aliyeacha anataka kifaa chake kiwe uimara na kinanyanyuka na kufanya kazi yake kama zamani afanyeje?

Tuache mambo ya kina dokta flani,Yaani wewe uliyeacha ulifanyaje kurudisha nguvu ?
 
Madhara ya kujichua hujificha ubongoni, na sio kwenye kiungo husika, ubongo umeshazoeshwa na hali uliyonayo, mbadala wa tatizo ni tukate hiyo kichwa yako tupachike kichwa kingine chenye kujua matumizi sahihi ya viungo vya mwili.
 
Madhara ya kujichua hujificha ubongoni, na sio kwenye kiungo husika, ubongo umeshazoeshwa na hali uliyonayo, mbadala wa tatizo ni tukate hiyo kichwa yako tupachike kichwa kingine chenye kujua matumizi sahihi ya viungo vya mwili.
Hujasaidia kitu. kama umeona mada haijakupendeza jiweke kando sio lazima kila mada uchangie kama umekuudhi uzi huu samahani lengo ni kusaidiana katika mambo ya kiafya ndio lengo la jukwaa hili. sio kubezana
 
Back
Top Bottom