Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hujasaidia kitu. kama umeona mada haijakupendeza jiweke kando sio lazima kila mada uchangie kama umekuudhi mada hii samahani leongo ni kusaidiana katika mambo ya kiafya ndio lengo la jukwaa hili. sio kubezana
Mbona nimekusaidia kwa namna moja japo hujang'amua, tatizo la kujichua ubongo unahusika, hata wewe ukizoeshwa kulala taa imewaka kwa miaka mingi, itafika kipindi huwezi kulala bila taa kuwashwa.
 
Hongera kwa kuacha huo mchezo mchafu mkuu. Wewe endelea kufanya mazoezi, kula vizuri, kupunguza uzito na kujisomea mambo ya maana. Ukiwa na mkeo relax na uchukulie kuwa ni jambo la kawaida. Fukuza wasiwasi wo wote, jiamini halafu toa dozi kwa kadri unavyoweza. Siku moja utakuja kujishangaa. Wakati mwingine kupaparika na kutaka njia za mkato pamoja na woga ndiyo huleta matatizo. Good luck in your recovery from the bondage of masturbation. Mungu Akusaidie!
 
shukrani mkuu kwa maoni yako chanya
 
Duh nyeto ni brain related addiction... Sizani kama unaweza acha. Kuna jamaa yuko na mke na watoto na huwa ananiambia bado anapiga puli
 
Duh nyeto ni brain related addiction... Sizani kama unaweza acha. Kuna jamaa yuko na mke na watoto na huwa ananiambia bado anapiga puli
Kuacha inawezekana na wengi tumeshafanikiwa kuacha. Wewe una mke na watoto wawili bado tu unapiga? Unahitaji msaada wa kitabibu na kisaikolojia mkuu. Pia waone wataalamu wa mambo ya kiroho watakusaidia.
 
Hilo dozi kama waraka cc waumini wa kameze 3*1 hatuwezi maelezo hayo.
 
Kuacha ni ngumu sana, laakini umejitahidi kutoa ushaurii, wahanga wengi wa punyeto ni wanafunzi, muda mwingi wanakua wako peke yao na kujisomea ndani, yanapowajia mawazo haya huondoa haraka kwa punyeto na kuenndelea kusoma daftari au kitabu chake, iyo kutafuta mpenzi inaweza saidia lakini sio kwa wote, maana kua na mpenzi na kufanya sex ni vitu viwili tofauti, unaweza ukawa na mpenzi lakini hata kumkumbatia ukawa hufanyi
mkuu umenizungumzia aisee
 
Huku nje mkuu huwezi kuangalia porn kwa simu wana block, ukihitaji kuangalia lazima uwasiliane na customer service wakufungulie, hii ni safety kwa vijana under18.
Hata broadband pia una block, any website ambazo zinahusuana na sexual burn.
Sijui Tanzania hii system
 
punyeto haina madhara,uoga wenu na story za vijiweni ndio unasababisha mshindwe kushiriki tendo la ndoa.
Binafsi nimeanza punyeto tangu darasa la 7 mpka namaliza chuo pale MUHAS bado napiga punyeto,nimeacha punyeto baada ya kuoa.
1-sijawahi kupata madhara ya punyeto napiga mpka bao 4.
2-uume haujasinyaa sio mdogo kama mnavyo-danganyana.
3-sina matatizo ya kusahau,sikupata uchovu wa mwili na kiakili.
NB:life style zenu ndio zinawafanya msiwe na nguvu za kimwili ata za kiume,unakula chips yai+soda,mnajishindilia vyakula vya mafuta mnategemea hizo nguvu mtazipata wapi???
mazoezi hamfanyi mnategemea nguvu mnatazipata wapi???

POINT TUPU BROOOOOOOOO,NIMEKUELEWA SANA
 
Habari wana JF,

Nimeona niandike tu hata sasa maana nimeshindwa kabisa kulala, nina miaka 26 now. Niliwahi kuwa mpiga punyeto mashuhuri hadi juzi kati tu nilipoamua kuacha lakini toka nimeacha na kuhamia kwa viumbe aliotuandalia Mungu hali sio shwari, uume wangu husimama legelege na nikitaka kuanza mchezo uume huzima kabisa.

Nashindwa kujua nifanye nini maana nimemaliza visingizio vyote kwa wasichana niliowahi kuwa nao.

Naombeni masaada wenu.
 
Back
Top Bottom