Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Hapo ushaathirika cha msingi tuliza akili kisha jaribu kula vyakula vyenye kuongeza Nguvu mwilini. Ila nina wasiwasi kama Ulikuwa MASHUHURI kuacha kazi hiyo kitu ni sawa na UTEJA Yaani aache tu bila kwenda rehab
 
Acha punyeto man...Fanya mazoezi, maji mengi, tumia sana asali, chukua mdalasini uliosagwa na tangawizi iliyosagwa changanya vyote na tumia kama majani ya chai....mboga mboga sana...matunda kama tikiti tumia kwa sana tu...nyama haina matokeo mazuri sana...ila sio mbaya ukitumia...after one week mambo yatakaa poa wala usijali...usisumbuke hata kwenda kwa wenye tiba asilia ni wahuni tu....but pia smtyme tendo la ndoa ni concentration ukimiss concentration huwez simamisha
 
Pole sana ndugu..inaonekana n tatzo sugu hadi umelileta kwa hati ya dharula..hebu ondoa wazo la kuwa huwez kama tayar ulishaijenga hvyo kwan nahsi hilo ndo tatzo kubwa linalokusumbua na sio madhara ya punyeto
 
Habari wana jf nimeona niandike tu hata sasa maana nimeshindwa kabisa kulala, nina miaka 26 now... Nliwahi kuwa mpiga punyeto mashuhuri had juzi Kati tu nlpoamua kuacha lakini toka nimeacha na kuhamia kwa viumbe aliotuandalia Mungu hali so shwari, uume wangu husimama legelege na nktaka kuanza mchezo uume huzima kabsa.... Nashindwa kujua nofanye nn maana nimemalza vicngzio vyote kwa wasichana nlowahi kuwa nao.... Naomben masaada wenu
Pole sana
 
Ahsanten wote mlonipa pole na njia za kutatua tatizo hili naanza utekelezaji Mara moja
 
Back
Top Bottom