Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Pole mkuu hii kitu kuiacha huwa ni vigumu kwa kuwa hormones zinakuwa involved na ubongo pia. Kuna namna mbili unaweza chagua moja hata watu humu wameacha au kupunguza kwa njia hizi:-
1. Upate mpenzi wa kufanya nae mapenzi kila upatapo hamu. Ni vizuri ukaoa kama umefikia umri wa kufanya hivyo. Hii njia unaweza kumaliza tatizo lakini ina madhara mengi kwani ni dhambi ya uzinzi na waweza pata magonjwa.
2. Ni kuelewa kuwa kitendo cha kupiga punyeto ni dhambi na ni aibu mbele za Mungu na ni chukizo. Unajitenga na Mungu na Roho mtakatifu anatoweka ndani yako na kukuacha na uchafu unaoufanya. Unachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi na kuweka kusudi la kuto kirudia tena na jiweke karibu na Mungu. Utajikuta kila unapotaka kupiga puli kumbuka kuwa unatenda dhambi utajikuta unakosa hamu na huwezi fanya tena. Wakati unataka kufanya assume kuna mtu anakuona ujikuta una ahirisha kutenda. Ukifanya hivyo Mara nyingi utazoea ( controlled reflex action)
Fanya moja wapo kati ya hayo. Hii ya pili ni ngumu lakini ina faida nyingi.
Hata ukioa kama umezowea punyeto utamuacha mtoto wa kike amelala au ameenda kuoga unampigia punyeto huyo huyo!Hiyo atakufa nayo mkuu,hata mke au mpenzi akisinzia tu atapiga punyeto badala ya kumgegeda!
 
As a man you have got only two options, it's either you masturbate or you fornicate.
 
Mp

Mpaka sasa nna miaka 26 nimeacha kama mwezi mmoja uliopita
Kwa hiyo umepiga kwa miaka 11.
Mbona wewe ni cha mtoto!,kuna watu wamepiga kwa zaidi ya hiyo miaka 11 na wapo kawaida tu.
Kilichosababisha uwe katika hali hiyo,ni kuweka sana akilini maneno yanayosemwa na wasiowahi kupiga kwamba ina madhara,imesababisha kiwango kikubwa cha akili yako kuwaza madhara saa zote,hata maamuzi yako yanawaza kushindwa saa zote kwenye tendo la kujamiiana.
SULUHISHO:
Ili wazo la kushindwa lililoganda kwenye akili yako litoke,dawa ya kuanzia ni mwanamke tu,mwanamke ndiye atakayekupatia moyo wa hata kuanza kutumia vyakula unavyoshauriwa na wakuu hapa JF.
Mwanamke anakuwa chanzo cha wewe kupata moyo wa kuanza kutumia vitu vingine vya asili kivipi?,ni kwa tendo la ndoa tu,kivipi?,mtafute mwanamke ambaye hamjuani,yaani iwe ndiyo mara ya kwanza mnaonana,iwe mchana au usiku,asiwe wa mtaani kwenu,lengo la kumtafuta mwanamke msiyejuana,ni,hata ukichemka,huna wasiwasi wa kutangazwa kuwa umeshindwa mchezo,na hata yeye mwenyewe hatokuwa na wazo na wewe la kukutangaza kwa sababu hakujui,na kuhusu huyu mwanamke msiyejuana,tafuta yule ambaye hana confidence,ikiwezekana nusu kichaa,au ili mradi umzidi confidence,maana yake tafuta mwanamke ambaye hata ukiwa naye kitandani unakuwa huna hata wasiwasi naye,mwanamke makini au kiwango atakupotezea confidence kwenye hatua za mwanzo za kutafuta uponyo.Kwa hiyo fanya uwezavyo utafute mwanamke ambaye hakupi hofu muwapo kitandani.Inakuwaje kuwaje sasa kwenye zoezi la kujenga akili yako?,kwa mfano,umeshindwa kwa wa kwanza msiyejuana,usikate tamaa,pumzika kidogo kama siku mbili tatu halafu tafuta mwingine tena msiyejuana.Hivyo hivyo,ipo siku lazima utafanikiwa hata kuingia ndani ya zizi,ukifanikiwa kuingia ndani ya zizi utaona utamu wake,kwa sababu utakuwa umeshaujua utamu,kukukuruka kihisia ili uingie kwenye utamu litakuwa ni jambo la kawaida,kwa hiyo kuingia kwenye zizi litakuwa jambo la kawaida,yaani kusimamisha sasa litakuwa ni jambo la kawaida,kwa sababu sasa mjomba utakuwa anasimama,siku ya siku utajishangaa unapiga kamoja,utakuwa mzee wa kamoja,kamoja utakaona ka kawaida,siku nyingine utakuwa unapiga zaidi ya moja.Hata moyo wa kutumia natural diet utakuwa nao sasa.
Umeelewa?
 
Pole mkuu hii kitu kuiacha huwa ni vigumu kwa kuwa hormones zinakuwa involved na ubongo pia. Kuna namna mbili unaweza chagua moja hata watu humu wameacha au kupunguza kwa njia hizi:-
1. Upate mpenzi wa kufanya nae mapenzi kila upatapo hamu. Ni vizuri ukaoa kama umefikia umri wa kufanya hivyo. Hii njia unaweza kumaliza tatizo lakini ina madhara mengi kwani ni dhambi ya uzinzi na waweza pata magonjwa.
2. Ni kuelewa kuwa kitendo cha kupiga punyeto ni dhambi na ni aibu mbele za Mungu na ni chukizo. Unajitenga na Mungu na Roho mtakatifu anatoweka ndani yako na kukuacha na uchafu unaoufanya. Unachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi na kuweka kusudi la kuto kirudia tena na jiweke karibu na Mungu. Utajikuta kila unapotaka kupiga puli kumbuka kuwa unatenda dhambi utajikuta unakosa hamu na huwezi fanya tena. Wakati unataka kufanya assume kuna mtu anakuona ujikuta una ahirisha kutenda. Ukifanya hivyo Mara nyingi utazoea ( controlled reflex action)
Fanya moja wapo kati ya hayo. Hii ya pili ni ngumu lakini ina faida nyingi.

Dah.....sawa mkuu ntajitahid ingawa nmepitia viapo ving sana na kusema hii ya mwsho sirudii tena lakin Najikuta narudia tena
 
Shida iko wapi mkuu
1.Kama unaangalia pornography acha.
2.Usipende kukaa mwenyewe.
3.Fanya mazoezi yatakayofanya mwili uchoke
4.Tafuta mpenzi kama huna.
5.Jiweke busy muda wote.

Ahsante Mkuu, lakini nahisi hii ni adiction maana mpenz nnae.......

Ntafanyia kazi la kuacha kuchek porno ingawa nguvu ya ziada inahitajika, pamoja na kufanya mazoez
 
Kwa kujiwekea amani ya akili zaidi,usitafute mwanamke msiyejuana wa kijiji jirani au kitongoji cha nne kutoka unapokaa,tafuta mwanamke wa mbali na mtaa wa kwenu kwelikweli,yaani mbali kwelikweli,ikiwezekana panda daladala la nauli ya sh. 1000 na kuendelea.
Kwa sababu umeamua kubadilika,specialization kwenye kitu kimoja tu,hikihiki.
 
Njia ya uhakika kabisa ya kuacha punyeto na kurudisha kadi ya chaputa ni kuoa

Boss nna dem wangu mkali kbsa.......wana kibao wana mmendea manz angu ila nikipata tu kiupenyo cha kuwa mwenyewe nagusa kimoja cja faster
 
Kwangu mi nakushauri ukienda kuoga usipelekee hisia zako kupiga pulli kwani waweza kuja kupata tatizo ambalo litakuwa ni janga kwako pia hata kwa mke wako
Mbaya hiyo xana haipaswi kuigwa

Ahsate sana mkuu.......ntajitahid kuacha
 
daah mi nakushauri usiache kijana kile kitu kitamu kuliko chenyew halisia...dah tena nasikia kuna style ya nzi jaman watu wanabadilika kama technologyinavobadilika..mh hatar ila subir ntakupa njia ambazo zitakazoweza kukusaidia lakin naomba kujua ni aina gani ya puchu unafanya??i mean unaanza kuangalia xx au unapiga kivengine???maana najua kuna style nying

Hahhahaha mkuu umenifanya nicheke........

Naangalia kwanza porno na huwaga simalizi zile za dakik 15 au 20 nakua shamaliza, na nikimaliza nafutilia mbali ila kesho najikuta mwenyewe nadownload tena
 
Hata ukioa kama umezowea punyeto utamuacha mtoto wa kike amelala au ameenda kuoga unampigia punyeto huyo huyo!Hiyo atakufa nayo mkuu,hata mke au mpenzi akisinzia tu atapiga punyeto badala ya kumgegeda!

Dah mkuu unantisha kidogo.......ina maana sitoacha???
 
As a man you have got only two options, it's either you masturbate or you fornicate.

But there exist some guyz out there duin none of the two na they persist........i wonder how they manage to do that
 
tafuta tikiti maji,likamue likiwa na maganda yke kisha mix malimao au ndimu mbili..hakikisha mbegu za tikiti unazitafuna.....tumia mchanganyiko huo asbh kabla hujala kitu..kwa wiki isipungue mara3..itakusaidia sana iyo..
 
Back
Top Bottom