Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Pole sana ndugu..inaonekana n tatzo sugu hadi umelileta kwa hati ya dharula..hebu ondoa wazo la kuwa huwez kama tayar ulishaijenga hvyo kwan nahsi hilo ndo tatzo kubwa linalokusumbua na sio madhara ya punyeto
Hati ya dharura...umetisha brother
 
Habarin wakuu.......msaada jaman hii kitu mm inanisumbua sana, najaribu kuacha kupiga nyeto ila naacha tu kwa weeks kazaa najikuta narud tena.

Nataman kuacha mazima msaada jaman.

Thanks
 
Pole mkuu hii kitu kuiacha huwa ni vigumu kwa kuwa hormones zinakuwa involved na ubongo pia. Kuna namna mbili unaweza chagua moja hata watu humu wameacha au kupunguza kwa njia hizi:-

1. Upate mpenzi wa kufanya nae mapenzi kila upatapo hamu. Ni vizuri ukaoa kama umefikia umri wa kufanya hivyo. Hii njia unaweza kumaliza tatizo lakini ina madhara mengi kwani ni dhambi ya uzinzi na waweza pata magonjwa.

2. Ni kuelewa kuwa kitendo cha kupiga punyeto ni dhambi na ni aibu mbele za Mungu na ni chukizo. Unajitenga na Mungu na Roho mtakatifu anatoweka ndani yako na kukuacha na uchafu unaoufanya.

Unachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi na kuweka kusudi la kuto kirudia tena na jiweke karibu na Mungu. Utajikuta kila unapotaka kupiga puli kumbuka kuwa unatenda dhambi utajikuta unakosa hamu na huwezi fanya tena.

Wakati unataka kufanya assume kuna mtu anakuona ujikuta una ahirisha kutenda. Ukifanya hivyo Mara nyingi utazoea ( controlled reflex action)
Fanya moja wapo kati ya hayo. Hii ya pili ni ngumu lakini ina faida nyingi.
 
Habarin wakuu.......msaada jaman hii kitu mm inanisumbua sana, najaribu kuacha kupiga nyeto ila naacha tu kwa weeks kazaa najikuta narud tena.

Nataman kuacha mazima msaada jaman.

Thanks
Nikuulize swali,punyeto na mwanamke,kipi kitamu zaidi?
 
Shida iko wapi mkuu
1.Kama unaangalia pornography acha.
2.Usipende kukaa mwenyewe.
3.Fanya mazoezi yatakayofanya mwili uchoke
4.Tafuta mpenzi kama huna.
5.Jiweke busy muda wote.
 
Kwangu mi nakushauri ukienda kuoga usipelekee hisia zako kupiga pulli kwani waweza kuja kupata tatizo ambalo litakuwa ni janga kwako pia hata kwa mke wako
Mbaya hiyo xana haipaswi kuigwa
 
daah mi nakushauri usiache kijana kile kitu kitamu kuliko chenyew halisia...dah tena nasikia kuna style ya nzi jaman watu wanabadilika kama technologyinavobadilika..mh hatar ila subir ntakupa njia ambazo zitakazoweza kukusaidia lakin naomba kujua ni aina gani ya puchu unafanya??i mean unaanza kuangalia xx au unapiga kivengine???maana najua kuna style nying
 
Namna bora ya kumsahau ex, ni kukaa mbali. So hakikisha mikono yako na chululu havikutani kabisa.
 
Pole mkuu hii kitu kuiacha huwa ni vigumu kwa kuwa hormones zinakuwa involved na ubongo pia. Kuna namna mbili unaweza chagua moja hata watu humu wameacha au kupunguza kwa njia hizi:-
1. Upate mpenzi wa kufanya nae mapenzi kila upatapo hamu. Ni vizuri ukaoa kama umefikia umri wa kufanya hivyo. Hii njia unaweza kumaliza tatizo lakini ina madhara mengi kwani ni dhambi ya uzinzi na waweza pata magonjwa.
2. Ni kuelewa kuwa kitendo cha kupiga punyeto ni dhambi na ni aibu mbele za Mungu na ni chukizo. Unajitenga na Mungu na Roho mtakatifu anatoweka ndani yako na kukuacha na uchafu unaoufanya. Unachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi na kuweka kusudi la kuto kirudia tena na jiweke karibu na Mungu. Utajikuta kila unapotaka kupiga puli kumbuka kuwa unatenda dhambi utajikuta unakosa hamu na huwezi fanya tena. Wakati unataka kufanya assume kuna mtu anakuona ujikuta una ahirisha kutenda. Ukifanya hivyo Mara nyingi utazoea ( controlled reflex action)
Fanya moja wapo kati ya hayo. Hii ya pili ni ngumu lakini ina faida nyingi.
Umenena mdesi[emoji23] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom