Pole mkuu hii kitu kuiacha huwa ni vigumu kwa kuwa hormones zinakuwa involved na ubongo pia. Kuna namna mbili unaweza chagua moja hata watu humu wameacha au kupunguza kwa njia hizi:-
1. Upate mpenzi wa kufanya nae mapenzi kila upatapo hamu. Ni vizuri ukaoa kama umefikia umri wa kufanya hivyo. Hii njia unaweza kumaliza tatizo lakini ina madhara mengi kwani ni dhambi ya uzinzi na waweza pata magonjwa.
2. Ni kuelewa kuwa kitendo cha kupiga punyeto ni dhambi na ni aibu mbele za Mungu na ni chukizo. Unajitenga na Mungu na Roho mtakatifu anatoweka ndani yako na kukuacha na uchafu unaoufanya. Unachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi na kuweka kusudi la kuto kirudia tena na jiweke karibu na Mungu. Utajikuta kila unapotaka kupiga puli kumbuka kuwa unatenda dhambi utajikuta unakosa hamu na huwezi fanya tena. Wakati unataka kufanya assume kuna mtu anakuona ujikuta una ahirisha kutenda. Ukifanya hivyo Mara nyingi utazoea ( controlled reflex action)
Fanya moja wapo kati ya hayo. Hii ya pili ni ngumu lakini ina faida nyingi.