So ukitaka urudi kwenye ubora wako unatakiwa ufanyeje?
kwanza kuna zoez unatakiwa uwe unafanya linaitwa pelvic muscules floor exercise au kama hijakaa sawa ule matunnda karot mbili au tatu ndizi tatu na parachich pamoja na tikit tikit liwe orijinal sio haya ya kichina ya gmo yanaua kwa kansa ukitumia zoez hilo uume utakua imara
 
vumbi la kongo linapatikana wapi jmn ni shida nalo sn
 
Pole sana kijana mwenzangu kwa hayo yote hupaswi kulaumia Maana hatujui kampuni yako ulikuwa ni watu wa aina gani pindi unapobalehe, fuata ushauri uliopewa hapo juu pia usisahau kusali ili hiyo roho ikutoke, ukweli ni kwamba huwezi kuacha punyeto kama hofu ya Mungu haiko ndani yako, Maana hiyo ni nguvu za kimapepo ndio Maana ukimaliza kile kitendo unajilaumu na kuahidi hautofanya tena Maana pindi unapomaliza lile Pepo linaondoka
 
Chukua a asali kikombe kimoja changanya tangawizi, mdalasini, pilipili, kijiko kimoja kwa vyote then kula kila siku kijiko kikubwa mara tatu kwa siku
 
Hongera sana mkuu kwa ushindi.Naomba udumu kwa Yesu ili usije ukarudia matapishi tena.Kwa Yesu kuna ushindi mkuu.Kama hujamkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako fanya hivyo,ni jioni mno,Yesu yuko karibu kurudi kulichukua kanisa.
 
Ila anaetaka kuacha kweli kweli haitaji kwenda kujichoresha kwa mtu anaejiita mshauri nasaha. Aache kimya kimya.
 

Ule matunda kila siku au kwa siku moja tu??

Na Ilo zoezi unalifanya Mara ngapi na kwa muda gani??
 
Narudia tena, Acha punyere kisha Anza mazoezi ya kegel na kukimbia, kunywa maji mengi, pumzika (usingizi) vya kutosha, acha vileo. Wk mbili za mwanzo utaona mabadiliko.
 
Punyeto haina effect yoyote kwenye erection.
Hiyo ni psychological kwamba unadhani Punyeto ndio imekusababishia!
Ila kwa kua umeamua kuacha, ni jambo jema!, ila kaa mbali na pono utarudia tena!
Zingatia ushauri uliopewa!
 
jibu la kweli ni kumpokea YESU KRISTO, Yaani kuokoka, na kuishi maisha matakatifu na kumwita roho mtakatifu akuongoze!
 
Ule matunda kila siku au kwa siku moja tu??

Na Ilo zoezi unalifanya Mara ngapi na kwa muda gani??
moja kwa siku zoez mara mbili kwa siku au tembea kwa dk 100 go and return jion kama wahind na wazungu wa posta
 
punyere linaleta msongo wa mawazo, unakuwa kama umetumbuliwa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…