hahaa pole sana ulikia kama mimi aisee nilimaliza visingizio vyote mara naumwa mara kuna mtu ananisema mara hii ishara ya jambo baya mbelen mawazo maden na nk ila sasa nipo fresh nina watoto wawili na nikipiga game shahawa kama bomba na uume ngangangaaa nilikula ndizi tatu karot tatu tikit kipande na parachichi kisha nikawa natembea dk 50 kwenda na dk 50 kurud mwwndo wa haraka kidogo bas siku ya kwanza tu asubuh kitu mnara ssa nimepona kila siki najiimarisha
 
kibaiolojia hauna tatizo kuwa na amani kabisa maisha yako yote na tena ikibidi endelea, ila tatizo kubwa lipo upande wa kisaikolojia ndipo kuna tatizo mtafute mtaalamu wa saikolojia .
 
Ipo dawa ya kuacha punyeto;ni mafuta maalumu unakunywa kijiko kimoja usiku,pia unajipaka kichwani
 
Siungi mkono punyeto ila hapa hakuna uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…