Wenzako punyeto tunapiga pale inapobidi.unakuta kwa.miezi miwili mara moja.sasa kama wewe ulikuwa unapiga kila siku basi pole zako.huo ugonjwa hauna dawa wala kidhibiti,bora ya ukimwi kuna ARVS ila huo ugonjwa wa nyeto hauna tiba yoyote,hospital utadanganywa tu,we jikubali na tatizo lako tu na endelea kupiga nyeto kaka
 
hilo tatizo ni la muda zingatia msosi na matunda matunda utakaa sawa
 
Mwanangu fanya mazoezi ya kegeli. Wiki mbili tu, utakua kama kifaru dume
Kula tikiti zima kila siku, chai ya mdarasini na kunywa maji mengi sana
kwenye ubora wako member mstaafu wa chaputa
 
Mimi nlipiga hiyo ktu miaka 12, I mean tangu 2004 hadi 2016 October nlipooa, still nauwezo wa kupiga bao 6 kwa night 1,
mkuu we ni chai nusu dadeki mi ni mwanachama ila nikienda sita siku hiyo nimesanda mzigo 7 mpaka 8 dogo aache uoga
 
nashangaa wanaoisema vibaya nyeto
hongera mkuu wewe utakua ni verified user wa chaputa
 
Wengi wameanza katika umri huo wa balehe na ndipo mazoea yanaendelea kwenye umri kama huo wako nilijaribu huo mchezo naweza kusema ni utoto na udomo zege ila niliona ni upumbavu na kuacha kabisa.
 
Narudi kwa mtoa mada Fanya mazoezi then uwe na confidence mchezoni acha woga na wasiwasi usikamie mechi relax.But nasisitiza punyeto INA madhara sana wengi hawapendi kusema ukwel
 
Kula kwawingi mlenda ulio changanwa nyanyachungu
 
Punyeto wazee ni kitu mbaya ukishakuwa mlevi wake....
 
Dah... 10mls x 2times x 365days x 7yrs = 51,100mls ambayo ni sawa na Lita 51.....yaani ndoo 2 na nusu za "cream".....kwanini usigombee urais wa CHAWAPUTA? [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa kakubuhu.

Legendary [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah... 10mls x 2times x 365days x 7yrs = 51,100mls ambayo ni sawa na Lita 51.....yaani ndoo 2 na nusu za "cream".....kwanini usigombee urais wa CHAWAPUTA? [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa kakubuhu.

Legendary [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gari hisiwake tu kwan kitu gani kitan- cost! Kama watoto ninao wakutosha,Nitashangaa nin hapa duniani.
Unajisifia ujinga kwa kiwango cha juu, huenda hata mtoto huna hata mwanamke huna unashindia punyeto kazana sana,
 
Mkuu mimi naongelea uzoefu... Nakaribia kufikisha miaka 13 kwenye gemu... Na sijaona tatizo lolote...
Athari zipo kemkem, usiangalie mpaka ushindwe kusimamisha uume kuna matatizo yapo mengi, kupunguza uwezo wa kufikiri brain capacity it drops compare to before hujaingia kwenye game la nyeto, na usichukulie its funy, huwezi kuziona athari zake sahivi labda utaziona baadae, epuka upigaji wa nyeto, pinga shughuli hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…