Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Wenzako punyeto tunapiga pale inapobidi.unakuta kwa.miezi miwili mara moja.sasa kama wewe ulikuwa unapiga kila siku basi pole zako.huo ugonjwa hauna dawa wala kidhibiti,bora ya ukimwi kuna ARVS ila huo ugonjwa wa nyeto hauna tiba yoyote,hospital utadanganywa tu,we jikubali na tatizo lako tu na endelea kupiga nyeto kaka
 
hilo tatizo ni la muda zingatia msosi na matunda matunda utakaa sawa
 
Mimi nlipiga hiyo ktu miaka 12, I mean tangu 2004 hadi 2016 October nlipooa, still nauwezo wa kupiga bao 6 kwa night 1,
mkuu we ni chai nusu dadeki mi ni mwanachama ila nikienda sita siku hiyo nimesanda mzigo 7 mpaka 8 dogo aache uoga
 
Mimi nimeanza kupiga punyeto namiaka 15 sasa nina 28. Nimekuwa addicted na punyeto kiasi kuwa sioni raha ya mwanamke kivile. Kwa sasa kila siku lazima nipige ndyo nilale. Ila nina stail yangu mjarabu ya kupigia nyeto.

Mi nachoshangaaa nyeto inafanya nikikutana na mwanamke nachelewa sana kukojoa. Na hata nikikojoa mkulu halali. Hulala baada ya mabao matatu nakuendelea.

Side effect nyingine. Nyeto inanifanya nimchoke mwanamke mapma sana.
nashangaa wanaoisema vibaya nyeto
hongera mkuu wewe utakua ni verified user wa chaputa
 
Mimi nimeanza kupiga punyeto namiaka 15 sasa nina 28. Nimekuwa addicted na punyeto kiasi kuwa sioni raha ya mwanamke kivile. Kwa sasa kila siku lazima nipige ndyo nilale. Ila nina stail yangu mjarabu ya kupigia nyeto.

Mi nachoshangaaa nyeto inafanya nikikutana na mwanamke nachelewa sana kukojoa. Na hata nikikojoa mkulu halali. Hulala baada ya mabao matatu nakuendelea.

Side effect nyingine. Nyeto inanifanya nimchoke mwanamke mapma sana.
Wengi wameanza katika umri huo wa balehe na ndipo mazoea yanaendelea kwenye umri kama huo wako nilijaribu huo mchezo naweza kusema ni utoto na udomo zege ila niliona ni upumbavu na kuacha kabisa.
 
Narudi kwa mtoa mada Fanya mazoezi then uwe na confidence mchezoni acha woga na wasiwasi usikamie mechi relax.But nasisitiza punyeto INA madhara sana wengi hawapendi kusema ukwel
 
habari wana jamiiform mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa ila naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 22 nimeathiriwa na punyeto sana kwani nilianza kupiga punyeto nikiwa na miaka 15 mpaka juzi tu kama miezi miwili iliyopita ndio nimeacha nimeacha baada ya kushindwa kabisa kufanya mapenzi na msichana mara mbili kwani kabla sijaweka hata kitu kwenye k ninakuwa tayari nishamaliza na siwezi kusimamisha tena nikashauriwa nitumie erecto nikawa naweza kufanya lakini sasa hata erecto nikinywa kidonge kimoja hakifanyi kaxi naombeni mnisaidie kwani sasa naisi kuwa mimi sio mwanaume kama wengine naomba msaada wenu jamanii
Kula kwawingi mlenda ulio changanwa nyanyachungu
 
Dah... 10mls x 2times x 365days x 7yrs = 51,100mls ambayo ni sawa na Lita 51.....yaani ndoo 2 na nusu za "cream".....kwanini usigombee urais wa CHAWAPUTA? [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa kakubuhu.

Legendary [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Gari hisiwake tu kwan kitu gani kitan- cost! Kama watoto ninao wakutosha,Nitashangaa nin hapa duniani.
Unajisifia ujinga kwa kiwango cha juu, huenda hata mtoto huna hata mwanamke huna unashindia punyeto kazana sana,
 
Mkuu mimi naongelea uzoefu... Nakaribia kufikisha miaka 13 kwenye gemu... Na sijaona tatizo lolote...
Athari zipo kemkem, usiangalie mpaka ushindwe kusimamisha uume kuna matatizo yapo mengi, kupunguza uwezo wa kufikiri brain capacity it drops compare to before hujaingia kwenye game la nyeto, na usichukulie its funy, huwezi kuziona athari zake sahivi labda utaziona baadae, epuka upigaji wa nyeto, pinga shughuli hii.
 
Back
Top Bottom