Pole sana
Fanya mazoezi, kula vizuri na jiamini unapokuwa na mpenzi wako. Tatizo linaweza likawa la kisaikolojia zaidi tofauti na unavyoona.
Usije ukununua dawa zozote za kuongeza nguvu za kiume utajimalizia kabisa,jambo la msingi kuwa mvumilivu matokeo utayapata taratibu.
 
Asee, yaani hujapiga puli miezi 2 na bado huwezi enda hata round 1?
 


ulishawai kupima sukari?
 
Punyeto haijawahi kuwa tatizo, nguvu zimeisha kwa matatizo mengn lakini sio punyeto...punyeto humuathiri mtu psychologically tu...



OVER
 
Pole sana aisee kwa tatizo lako..anza kufanya mazoezi hasa ya kuruka kamba na jogging ili kurudisha nguvu ya misuli iliyodhoofika kwa punyeto then ule vizr na kupumzka nguvu zitard..
Asante kwa ushauri mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…