Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Pole sana
Fanya mazoezi, kula vizuri na jiamini unapokuwa na mpenzi wako. Tatizo linaweza likawa la kisaikolojia zaidi tofauti na unavyoona.
Usije ukununua dawa zozote za kuongeza nguvu za kiume utajimalizia kabisa,jambo la msingi kuwa mvumilivu matokeo utayapata taratibu.
 
Karibu
58830cdf9e747c0a6b6d6fbb5dbdc67f.jpg
 
Ndg salaam,Nimekuwa nikijihusisha na mchezo wa kupiga punyeto kwa muda mrefu tungu shuleni miaka ya tisini,hadi sasa na familia yaliyo nikuta siwezi sahau nimepungukiwa nguvu za kiume siwezi mechi hata raundi moja.Je naweza pata matibabu ili nirudi ktk hali yangu ya zamani,naomba msaada kwa anayejua dawa ya kurudisha nguvu za kiume.Kuhusu kuacha kupiga punyeto nimeweza kujizuia sasa yapata miezi 2 sifanyi tena mchezo huo,karibuni kwa ushauri.
Asee, yaani hujapiga puli miezi 2 na bado huwezi enda hata round 1?
 
Ndg salaam,Nimekuwa nikijihusisha na mchezo wa kupiga punyeto kwa muda mrefu tungu shuleni miaka ya tisini,hadi sasa na familia yaliyo nikuta siwezi sahau nimepungukiwa nguvu za kiume siwezi mechi hata raundi moja.Je naweza pata matibabu ili nirudi ktk hali yangu ya zamani,naomba msaada kwa anayejua dawa ya kurudisha nguvu za kiume.Kuhusu kuacha kupiga punyeto nimeweza kujizuia sasa yapata miezi 2 sifanyi tena mchezo huo,karibuni kwa ushauri.

ulishawai kupima sukari?
 
Punyeto haijawahi kuwa tatizo, nguvu zimeisha kwa matatizo mengn lakini sio punyeto...punyeto humuathiri mtu psychologically tu...

OVER
 
Pole sana aisee kwa tatizo lako..anza kufanya mazoezi hasa ya kuruka kamba na jogging ili kurudisha nguvu ya misuli iliyodhoofika kwa punyeto then ule vizr na kupumzka nguvu zitard..
Asante kwa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom