hao wanaoongoza kampeni nao ni chaputa kindakindaki unategemea niniKampeni ya "jitoe chaputa" ilianza kuwa na mafanikio mazuri ila kwa uzi huu naona kampeni ikifeli kwa mwendokasi.
Weka na hasara 10 ili tubainishe wapi kuna faida zaidi.
chaputa tunajuanahaaaaa haaaa haaaa mkuu una IQ kubwa sana. thanks kwa kuelewa
asante msemaji idumu daimahakika umoja ni nguvu idumu CHAPUTA
msemaji CHAPUTA
asante mwanachama mwenzetuHongera sana Mh. Wa Chaputa
nakuona katibu wa itikadi, mipango na uenezi CHAVIPUTA. Uchaguzi ujao tutakupa jumuia ya wazazi CHAPUTAchaputa tunajuana
nitachukuwa fomu ya muweka hadhinanakuona katibu wa itikadi, mipango na uenezi CHAVIPUTA. Uchaguzi ujao tutakupa jumuia ya wazazi CHAPUTA