Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Watu wengi hushauri vyakula,wakati tatizo lako si kukosa vyakula.
Kikubwa cha kwanza nadhani umekifanya,cha kuacha,maana ndicho kimekusababishia Hali hiyo.
Cha pili,acha kutazama au kudownload video za ngono,hapo ndipo unaporudisha hisia zako zilizotoka kwenye mstari.
Kingine nadhani ni kutowazia suala lenyewe la mapenzi. Kama inawezekana kukaa walau zaidi ya mwezi mbali na mwenza wako,jaribu kufanya hivyo.
Naamini tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi ya kukosa lishe bora.
 
Ondoa hofu na wasiwasi. Tabia ya kujichungulia chungulia kuona kama imesimama kwa kishindo ndo inakuletea hofu. Kwani mkeo haridhiki? haimkuni kisawa sawa?

Relaxxxxxx mannnn
 
Back
Top Bottom