Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mazoezi ni dawa
Pia ondoa hayo mawazo kwamba haisimami we forcus kwenye mambo mengine tu utashtukia mambo yanarudi as normal.
 
Kula tikitimaji na mbegu zake bila kuchanganya na kitu chochote( wakati ukiwa na njaa asa asa mchana ), chukua punje za vitunguu swaumu zikate Kate, meza na maji mara 3au2 kwa siku. Kitunguu swaumu kinachochea kufufua mishipa ilio sinyaa/ kukosa nguvu..
 
Pia hakikisha vishawishi vya punyeto unakaa navyo mbali mfano picha za wadada warembo na ambao wameacha maeneo yao nyeti nje(pornographic) bila kuyafunika unazifutilia mbali kwenye simu yako au PC pia hakikisha hautazami videous za ngono maarufu x. (porno-videous)...

Pia ujumbe au hadithi za mapenzi pamoja na videous za bongo movies...

Kimsingi jitahidi kutengana na vishawishi uki shindwa hakikisha unaye wako wakupozea...

Kwenye suala la uume kutokuwa imara hakikisha haushiki mara kwa mara huko na pia kula tembele kama mboga na viazi vitamu(mbatata) na matunda ya kutosha bila kusahau maji na zoezi la kutosha!!

Ongeza na chai safi iliyotengenezwa kwa limau na tangawizi

Hope it's helpful!!
Asante hii nzurii
 
Kula tikitimaji na mbegu zake bila kuchanganya na kitu chochote( wakati ukiwa na njaa asa asa mchana ), chukua punje za vitunguu swaumu zikate Kate, meza na maji mara 3au2 kwa siku. Kitunguu swaumu kinachochea kufufua mishipa ilio sinyaa/ kukosa nguvu..
Asante mkuu
 
Nitakupa dawa ndogo inayosaidia be connected na wanawake penda kushika mkono wanawake kuwaangalia kushika bega yaan mda mwingine tumia kuwa karibu na wanawake itakusaidia kias flan...punyeto yako ulikuwa unapigaje
 
Kwa kweli hakuna udhalili mkubwa kwa mwanaume kama uume kushindwa kusimama haswa wakat wa tendo. Halafu usiombe hali hii ikukute ukiwa na mtoto mkaliiii tena aliekusumbua kwa muda mrefu .Hatare sana
 
Back
Top Bottom