Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Ondoa hofu na wasiwasi. Tabia ya kujichungulia chungulia kuona kama imesimama kwa kishindo ndo inakuletea hofu. Kwani mkeo haridhiki? haimkuni kisawa sawa?

Relaxxxxxx mannnn
Sante kwa kunitia moyo man p1
 
Punzika angalau mwezi mmoja bila punye wala mwanamke huku ukiwa unakula vizuri, unafanya mazoezi, soma vitabu na usahau masuala hayo, baada ya hapo kila kitu kitakuwa shwari
 
Sorry na ww ulitumiq hiyo njia mkuu.ngoja nifanye ivooo
Jihadhari sana kijana, sio kila jambo ni la kujaribu, usigeuze mwili wako kuwa specimen ya kufanyia majaribio. Aidha, acha ngono, kuwa mchamungu, nguvu zako zitarejea zenyewe taratibu. Mwili una mechanism nzuri sana ya kujitibu wenyewe. Tafuta kuweka heshima kwa mwanamke asiye mke wako uone utakavoendelea kuangamia. Ni hayo tu kijana.
 
Chukua punje za vitunguu swaumu kumi katakata vipande vidogo vidogo meza Na maji glàsi Moja kutwa mara Moja and then shushia chai ya tangawizi,mdalasini,karafuu mixture na iriki Kila siku Kwa mda wa wiki mbili utanipa mrejesho,watakukimbia aisee wacha tu Ninaushahidi Mkubwa tu ndugu usikate tamaaa
 
Ushakutana na wahanga wa aina yangu hii mkuu
 
Chukua punje za vitunguu swaumu kumi katakata vipande vidogo vidogo meza Na maji glàsi Moja kutwa mara Moja and then shushia chai ya tangawizi,mdalasini,karafuu mixture na iriki Kila siku Kwa mda wa wiki mbili utanipa mrejesho,watakukimbia aisee wacha tu Ninaushahidi Mkubwa tu ndugu usikate tamaaa
Vitunguu swaumu vinasababisha mdomo unuke
 
Pia hakikisha vishawishi vya punyeto unakaa navyo mbali mfano picha za wadada warembo na ambao wameacha maeneo yao nyeti nje(pornographic) bila kuyafunika unazifutilia mbali kwenye simu yako au PC pia hakikisha hautazami videous za ngono maarufu x. (porno-videous)...

Pia ujumbe au hadithi za mapenzi pamoja na videous za bongo movies...

Kimsingi jitahidi kutengana na vishawishi uki shindwa hakikisha unaye wako wakupozea...

Kwenye suala la uume kutokuwa imara hakikisha haushiki mara kwa mara huko na pia kula tembele kama mboga na viazi vitamu(mbatata) na matunda ya kutosha bila kusahau maji na zoezi la kutosha!!

Ongeza na chai safi iliyotengenezwa kwa limau na tangawizi

Hope it's helpful!!
 
Back
Top Bottom