Kunywa maji mengi afu mkojo ukibana uwe unakojoa kwa kubana... Yaan unakojoa kidogo unasubir dk moja tena unauchia hvo hvo mpaka mishipa itazoea then baada ya kipindi flan utaiona inakua strong
Sorry na ww ulitumiq hiyo njia mkuu.ngoja nifanye ivooo
 
Watu wengi hushauri vyakula,wakati tatizo lako si kukosa vyakula.
Kikubwa cha kwanza nadhani umekifanya,cha kuacha,maana ndicho kimekusababishia Hali hiyo.
Cha pili,acha kutazama au kudownload video za ngono,hapo ndipo unaporudisha hisia zako zilizotoka kwenye mstari.
Kingine nadhani ni kutowazia suala lenyewe la mapenzi. Kama inawezekana kukaa walau zaidi ya mwezi mbali na mwenza wako,jaribu kufanya hivyo.
Naamini tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi ya kukosa lishe bora.
 
Ondoa hofu na wasiwasi. Tabia ya kujichungulia chungulia kuona kama imesimama kwa kishindo ndo inakuletea hofu. Kwani mkeo haridhiki? haimkuni kisawa sawa?

Relaxxxxxx mannnn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…