Punyeto ni nini na nini madhara yake?
Mkuu nafikiri umepata msaada wa kutosha toka kwa wachangiaji wengi waliopita.Japo wapo waliokubeza na hata kutamka maneno yasiyofaa; nakupa pole kwa maneno yoa lakini nakupongeza kwakujitambua na kuatafuta msaada wakuacha.Nakuhakikishia upo kwenye mtazamo sahihi na Unahitaji tu msukumo kidogo zaidi ilikuendelea kupambana ilikuacha kabisa.

Kimsingi hiyo ni tabia ambayo imeshababishwa na mazingira ulikuwa umeyaishi, hivyo unahitaji msukumo mkubwa ilikuacha, hivyo basi kwasababu kisaikologia umeshaufahamu utamu wake sasa ni hatua ya kuufahamisha ubongo wako ubaya wake ili mwili na fahamu zianze kujutia na kutafuta njia ya kuachaa hii itaongeza hamu ya kuachaa na utatumia muda kidogo kuacha kabisa.

Pia nikutie Moyo hakika kama umefika mahali pakuonge wazi na kuomba msaada wa kuacha inawezekana kabisa kuacha na utaacha, na kwasababu unataka kuacha pia itakugharimu kuacha baadhi ya mambo yalikuwa yanakufanya ujisikie hamu ya kufanya tendo hilo, kaa chini tafuta maeneo/ mazingira yote yalikuwa yanakuletea hisia za kingono na achana nayo kabisha hapa ni kazi kweli kuacha vitu ulivyokuwa unavipenda jitahidi na utaweza. Pia ongeza maeneo mapya na marafiki wapya kama wengi walivyoshauri michezo na kupenda kujumuika na watu wengine.

Hili ni Muhimu kufanya
: Omba MUNGU wa kweli akusaidie kuacha tena ukiweza omba hata mara tatu kwa siku, soma makatazo ya MUNGU wa kweli kwa wanadamu, soma vitabu mbalimbali vya dini za Kweli kila mara,jinyime na jikatalie kufanya tena. Ni muhimu kujua kwenye kila jambo baya unalojaribu kulikwepa ipo nguvu kubwa inayokuvuta, Hivyo basi kuacha ni vita na unatakiwa kupigana kwa silaha zote mpaka ushindi upatikane na UTASHINDA, usijali watu watesema nini, Your focus Ni Kuaacha Punyeto tu.

Kimsingi nikutakie baraka za MUNGU wa kweli Na JEHOVA akutie nguvu za vita hiyo na utakuwa Mshindi kwa jina La YESU AMINA.
 
Pole,tatzo lmekuathiri kisaikolojia,jitahd kufanya mazoez kwa kwenda gym au hata hom,tafuta marafiki wema wenye kufocus mambo mema,soma vitabu vya dini kwa imani yako,cheza games..
Epuka mawazo au picha za ngono,fanya shughuli za nyumban,usipende tabia ya kua peke ako kwani itakupelekea kufanya kitendo hicho kiovu.
Angalia muv za comedy il kuepuka mawazo na vitendo vya kipuuz..
Umr bado mdogo au kwa ushaur zaid waone wataalam wa afya kitengo cha akil.
 
fanya mazoezi kwa sana ...epuka kuangalia picha au video zenye ushawishi wa kingono
 
Haiwezekani kuacha kujichuwa na kuwa mtu shoga Mkuu. Wanawake wapo tele kuna faida gani ya kujichuwa kupiga Punyeto?Ukiendelea kujichuwa kupiga punyeto itafika wakati wa wewe kuowa ukawa huna tena nguvu za Kiume uwe muangalifu na kupiga Punyeto mkuu Grim Reaper

Je kwa mtu alianza kupiga punyeto inamchukuwa miaka mingapi kupata hizo athari za kupoteza kabisa nguvu za kiume?
 
Je kwa mtu alianza kupiga punyeto inamchukuwa miaka mingapi kupata hizo athari za kupoteza kabisa nguvu za kiume?
Inategemea kama umefulululiza miezi 6 basi utaweza kupoteza nguvu zako za kiume.Kama unataka Dawa ya kuongeza Nguvu za kiume nitumie Email mimi Address yangu ni hii hapa (fewgoodman@hotmail.com) na pia waweza kutembelea Dawa yangu ya Nguvu za kiume nimeweka hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Faida ni chache hasara ni nying ni bora uache kitendo tafuta female atakusaidia kukidhi aja hyo.
 
Akhsante Dr.

infact mimi nimekuwa nikipiga mara 2 au 1 tu kwa wiki ni mwaka wa kumi sasa je, madhara gani naweza pata baadaye au kwa kuwa ni chini ya mara 4 kwa wiki iko sawa?
 
Wataalam naomba mnisaidie jibu je kuna madhara inapotokea kwa wapendanao mfano mke hayuko katika hali ya kufanya mapenzi na mumewe/mpenzwe wakaamua kufanya romance ikwepo kunyonya uume mpaka mwanaume kufika kilel​eni je madhara yake ni kama punyeto au na nafuu?
 
Sijawahi Sikia hili likikatazwa so me naona halina madhara kwa mwanaume sijajua kwa Upande wa KE
 
Kupungua kwa nguvu za kiume, na kupelekea ugumba hasa unapopiga mara 2/3 kwa cku, japo kn mazoez maalum ya kurudisha nguvu za kiume na kufanya uume kuwa imara.

mazoezi yapi hayo kaka,weka wazi hapo ili faida, mi nahitaji kujua hayo mazoezi mkuu,kama huwezi weka basi naomba ni PM
 
hilo ndhani halina shida, ila ngoja waje wataalamu watatujuza
 
Haina madhara. Na ukweli uliothibitishwa kisayansi ni kwamba hata punyeo siyo harmful kihivyo
 
Akhsante Dr.

infact mimi nimekuwa nikipiga mara 2 au 1 tu kwa wiki ni mwaka wa kumi sasa je, madhara gani naweza pata baadaye au kwa kuwa ni chini ya mara 4 kwa wiki iko sawa?
Haiko sawa wewe acha tu.
 
faida yake haytapata kero ndogondogo na ku2mia hela hovyo kama kuweka vocha ya kuwasiliana bila mpangilio na pia utapendwa kitaani kwenu na wazee kwa kutowaharibulia vibinti vyao but hasara zake sasa ndo balaa
 
Watu tumepiga sana hiyo kitu mpaka sioni raha tena. Sasa kama mbunye ipo ya nini.
 
hakuna kitu tamu duniani kama puli, nimeanza puchuka toka nikiwa std VII mwaka 1996 tena enzi hizo nilikuwa nanyuka kutwa mara3 kama dozi ya panadol lakini mpaka leo niko fiti mbaya. lakini nilichojionea na inanipa heshima nikikutana na dem ile makitu haitoki kwa zaidi ya saa moja na nusu kitu kinachowafanya wanitose na watoke nduki baada ya hapo
 
cpat pcha demu wako kpnz anakufuma unapga nyeto
 
Back
Top Bottom