Mkuu nafikiri umepata msaada wa kutosha toka kwa wachangiaji wengi waliopita.Japo wapo waliokubeza na hata kutamka maneno yasiyofaa; nakupa pole kwa maneno yoa lakini nakupongeza kwakujitambua na kuatafuta msaada wakuacha.Nakuhakikishia upo kwenye mtazamo sahihi na Unahitaji tu msukumo kidogo zaidi ilikuendelea kupambana ilikuacha kabisa.
Kimsingi hiyo ni tabia ambayo imeshababishwa na mazingira ulikuwa umeyaishi, hivyo unahitaji msukumo mkubwa ilikuacha, hivyo basi kwasababu kisaikologia umeshaufahamu utamu wake sasa ni hatua ya kuufahamisha ubongo wako ubaya wake ili mwili na fahamu zianze kujutia na kutafuta njia ya kuachaa hii itaongeza hamu ya kuachaa na utatumia muda kidogo kuacha kabisa.
Pia nikutie Moyo hakika kama umefika mahali pakuonge wazi na kuomba msaada wa kuacha inawezekana kabisa kuacha na utaacha, na kwasababu unataka kuacha pia itakugharimu kuacha baadhi ya mambo yalikuwa yanakufanya ujisikie hamu ya kufanya tendo hilo, kaa chini tafuta maeneo/ mazingira yote yalikuwa yanakuletea hisia za kingono na achana nayo kabisha hapa ni kazi kweli kuacha vitu ulivyokuwa unavipenda jitahidi na utaweza. Pia ongeza maeneo mapya na marafiki wapya kama wengi walivyoshauri michezo na kupenda kujumuika na watu wengine.
Hili ni Muhimu kufanya: Omba MUNGU wa kweli akusaidie kuacha tena ukiweza omba hata mara tatu kwa siku, soma makatazo ya MUNGU wa kweli kwa wanadamu, soma vitabu mbalimbali vya dini za Kweli kila mara,jinyime na jikatalie kufanya tena. Ni muhimu kujua kwenye kila jambo baya unalojaribu kulikwepa ipo nguvu kubwa inayokuvuta, Hivyo basi kuacha ni vita na unatakiwa kupigana kwa silaha zote mpaka ushindi upatikane na UTASHINDA, usijali watu watesema nini, Your focus Ni Kuaacha Punyeto tu.
Kimsingi nikutakie baraka za MUNGU wa kweli Na JEHOVA akutie nguvu za vita hiyo na utakuwa Mshindi kwa jina La YESU AMINA.