Rtd
Kijana wewe ni dume la mbegu kabisa na haujaathirika na kitu chochote kile. Kwanza kupiga Punyeto haina madhara yoyote. Pili kuwahi kumwaga haina uhusiano na punyeto ulizopiga kipindi kilichopita.
Ushauri wangu ni huu. Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa hakuna kitendo kinachofanyika katika mwili wako bila kuongozwa na fahamu zako. Ukijamba ni fahamu zako zinazotoa ruhusa kufanya kitendo hicho. Ukikooa ni fahamu zako zinazofanya hivyo. Hivyo basi hata kumwaga wakati wa
tendo la ndoa kunaongozwa na fahamu zako.
Kwa mtaji huu ni lazima u-control fahamu zako wakati unafanya wa
tendo ndoa. Ukianza kwa juhudi kubwa na kupoteza fahamu mapema, utamwaga mapema. Lakini uki-control mapigo yako na ya mwenzako na vilevile kutopoteza fahamu, utaelewa ni kipindi gani mwafaka uongeze juhudi hili na wewe ufike kileleni.
Kufanya mazoezi kunaongeza stamina na kuongeza mzunguko wa damu, ni baadhi vitu muhimu katika masuala ya mchezo wa ndoa. Hivyo fanya mazoezi na kula vyakula vizuri kwa afya yako. Pamoja na hayo uwe unaongea na mpenzi wako kuhusu jinsi ya kufanya mapenzi hili wote mridhike. Usifanye
tendo la ndoa kama kumkomoa mtu.
So long,
Z10.