SOSDANNY
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 453
- 444
Tatizo unaonyesha kwamba unampenda sana huyo dada, sasa jifanye kama humpendi ndiyo utafanikiwa kumfikisha penyewe, halafu umuandae vya kutosha. Elewa kwamba hawa wenzetu wanachelewa kufika kileleni kama siyo kuwa makini atakukimbia hasa akikutana na watalam wa BoMBI HII nyumbi hii.
Kwa hiyo mdogo wangu piga moyo konde wala sioni kama unashida sana isipokuwa ni saikological zaidi kuliko physiological ok.
Kwa hiyo mdogo wangu piga moyo konde wala sioni kama unashida sana isipokuwa ni saikological zaidi kuliko physiological ok.