Punyeto ni nini na nini madhara yake?
sio sababu

kumbe...
sauna13:43 Today watch this my dear brother.... Watch "PORN - The Destruction Of Humanity ᴴᴰ - Powerful …" on YouTube - PORN - The Destruction Of Humanity ᴴᴰ - Powerful …: http://youtu.be /_guG0YnZO1A
 
Duh...unadhoofisha afya yako ndg yangu ....acha kabisa....utapatwa na tatizo liitwalo "ghynomic"...ambalo litasababisha ushindwe kutoa sperms zenye nguvu ya kurutubisha yai....hivyo hutopata mtoto....
 
Hii michezo nliacha siku nyingi in my teenage years. Ila navyojua mimi hii kitu haina madhara if you do it tha right way ku avoid damage ya nerves zako.
Secondly unachokitoa mwilini hakikisha unakirudisha (i.e good diet, lots of water and lots of vegetables & fruits). Kama unafanya sana alaf unakuja shindia dagaa inakua shida kidogo. Same applies to sex.

Nazungumzia OverMasturbatiOn Ndugu
Ni Hatari Sana!
 
Kashindwa kusema Mama Salma anaonewa.Ushamsikia huyo akiponda matumizi mabaya ya serikali?Hayo mambo ya kina Dr Gharib Bilal na ndege ya serikali sijui wapi na wapi!!!Na sijui kosa la Mbowe kumiliki Tanzania Daima ni lipi.Nadhani Tafiti Then Jadili angependa tubakiwe na magazeti manne tu:Uhuru na Daily News,na weekend kuwe na Mzalendo na Sunday News.

Ni mpuuzi pekee anaeweza kuafikiana na upumbavu wa Mkapa kwamba waliokuwa wanapinga ununuzi wa ndege walikuwa na wivu.May be Claire Short nae alikuwa na wivu alipokuwa anajaribu kuweka pingamizi kwenye ununuzi wa ndege hiyo, haiyumkiniki kwa masikini wa kutupwa kama sie ambao tuna priorities nyingine luluki kukimbilia kununua vitu vya kifahari huku wananchi wakiwa hohe hahe.Blair anatumia helikopta na ndege za Royal Marines na sometimes anatumia BA,sie watu wa matanuzi tunajifanya tunazo huku tunategemea wafadhili.

http://www.telegraph.co.uk/news/graphics/2006/08/03/nblair03.jpg

Ambao wapo na gym inakuaje??binafsi nafanya mazoez ya kukimbia,na push up hamsini kila jioni.nahic nipo fiti sana
 
Hili tatizo linaathiri sana vijana,na sio kama hawana uwezo wa kutongoza!mademu wanao ila sijajua tabu ni nin.nadhani chanzo ni kuwa jobless,kutofanya mazoez.athari zake ni kubwa pia,nilisha experience hizo effects bt zilikuwa katika hatua ya mwanzo kabisa.from tha day nilipoona hizo effects,i hate that thing kutoka moyoni.ni heri niende ambiance
 
Dah, mkuu unajichua mara 30 na ngapi kwa siku? Pole lakini😡😡😡😭😭😭
 
Hivi kuna vifungu katika maandiko matakatifu yanayokataza kupiga punyeto..!! Basi hizo phrase zitakuwa zimejificha kidogo. Ila phrases zinazokataza kuzini, kutamani mademu, ufisadi,wizi, uuaji, ufiraji,ulevi, n.k. zipo wazi sana.

Punyeto na ngono ni ile ile tu kitu kimoja.
Anaepiga puchu ameabudu sanamu ila mwingine amefanya tendo na mtu anayeonekana.
Nimekujibu kwa kibriefcase kwa sasa
 
Ni PM nikuelekeza tiba ya kudumu na haraka ya hizo side effect hapo juu.
 
kupiga puchu kunapunguza uwezekano wa kuvimba prostate gland uzeeni, mkuu endelea kujirushia mbegu kwa amani
 

Attachments

  • 1410641197859.jpg
    1410641197859.jpg
    110.8 KB · Views: 350
Back
Top Bottom