Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Junior member ni utoto tu
ukikua utaacha!
Tafuta girlfriend akutatulie tatizo lakoHabari wanajukwaa
Mimi ni mwanachuo niko chuo fulan hapa dar.tatizo langu ni kwamba nimekua addicted sana na huu mchezo wa kupiga punyeto nilianza kipindi niko a level ....yani muda wowote nikijihisi niko lonely hua najikuta napiga punyeto na imekua ni kama tabia yani nikikaa siku chache bila kupiga nakua nahisi akili yangu haiko sawa yan kichwa kinakua kizito balaa lakini nikishapiga tu najiona mwepesi...natamani sana kuacha kwasababu najua kuna madhara yanaweza kunitokea mbeleni jamani naombeni ushauri wenu tafadhari
Habari wanajukwaa

jitahidi kuwa busy, usiweke sana akili zako ktk ngono na jaribu pia kumshirikisha mwenyezi mungu kimaombi akusaidie na naamini yataisha tu.
Kwani unatumia nn?
Condom...sabuni au mafuta ya mgando?
by the way haka kamchezo katamu mno...hakika hutojua stress za mapenzi.
mi mwenyewe napigaga
nakumbuka enzi hizo nikiwa chuo nilikuwa nikimwona demu nikampenda naingia bafuni napiga nyeto huku nikivuta hisia niko na huyo mlembo.!
Karibu sana kwenye watsapp group yetu ya chaputa members.. Pm namba yako uunganishwe.
Tafuta girlfriend ambaye hayuko busy kiasi ukimtaka tu utampat
Jiweke busy na mambo yako pia mazoezi saana
Epuka kulala chali wakati wote
Futa video zote za X kwa device zako zote
Paka pili pili mikononi wakati wote